Mimi sikatai haya yote na wala halina ubishi Messi ni mchezaji bora kwa miaka mingi. shida yangu hizi statistic zinaanza kutumika ikiwa in favor ya mtu fulani. swali huko mbele tutakuwa tunachagua mchezaji bora ay striker bora maana huu ubishi unajadiliwa dunia nzima lakini ndio raha ya mpira hakuna same opinion. Striker bora hii zawadi imeanza lini? jana wanatoa zawadi sahani lile kumpoza Lew. Kipa bora kwa mimi Mendy mwaka huu lakini kapewa Dona, sio kwamba kipa mbaya lakini Mendy kafanya makubwa chelsea na team ya taifa. kuna mambo mengi hayako sawa.Mzee angalia namba kati ya hao wanaofananishwa (Lewa na Messi). Ukiondoa huo ubingwa wa Copa America kwa Messi na Bundesliga kwa Lewandowski na ubakishe statistics za individual brilliance throughout the season. Namba za Messi ni nzuri zaidi kuliko Lewandowski.