Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
January asipo chukua Cr 7 nahamia Aleppo Syria, yaani kitendo cha yeye kushind UCL na EUROPA cup of nations , na Messi kukosa penalt yake dhid ya Chile.Fifa ballondor ni January
Aliyoshinda ni la jarida la France
Tuzo gani kila mtu yupo kwake,messi yupo Qatar,Griezman alikuwa anacheza dhidi ya Villarreal ,..January ndio kila kitu FIFA award
Jamani Messi akipoteza huwa nafurahi balaa.January asipo chukua Cr 7 nahamia Aleppo Syria, yaani kitendo cha yeye kushind UCL na EUROPA cup of nations , na Messo kukosa penalt yake dhid ya Chile.
Basi mwaka ndio uliishia pale
Yeah it seems mi na wewe we have alot in common, (japo tofauti zetu kubwa ni kubwa hasa [emoji28] )Jamani Messi akipoteza huwa nafurahi balaa.
Napenda kusikia Messi akipoteza ila kombe la Dunia (2014) huruma ya kibinadamu ilinijea sijui kwanini!
Ndiyo siku pekee niliyomuonea huruma Messi maishani mwangu.
Yeah it seems mi na wewe we have alot in common, (japo tofauti zetu kubwa ni kubwa hasa [emoji28] )
Kibinadamu nilimuonea huruma kidoogo 2014, ila mwaka huu alivo kosa penalt na Chile nilipata ka ubinadamu fulani. But yeaah i dont care anyway Messi have to lose for me to be happy.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] umeonyesh kias gan unamchukia jamaa....ila umenifurahish upande mwingin kwa support ya mtu mbaayaa Cr7Jamani Messi akipoteza huwa nafurahi balaa.
Napenda kusikia Messi akipoteza ila kombe la Dunia (2014) huruma ya kibinadamu ilinijea sijui kwanini!
Ndiyo siku pekee niliyomuonea huruma Messi maishani mwangu.
Huyo mwenyewe akifika Morocco huitwa Baby na anapakatwa kabisa sasa usijiangaishe kwa kushabikia wanaume wa typ ya[emoji108]Ilikuwa lazima apewe Cr7 tu,hakukuwa na namna nyingine.
Sishangai
Hii ndio raha ya kuwa team ushindi,kama asiposhinda kombe kupitia club/nation team basi atashinda tuzo.
#Cr7Baby#
[emoji123] [emoji122] [emoji122]
Kwani Huyo Mmoocco yeye hajakosa Penati?January asipo chukua Cr 7 nahamia Aleppo Syria, yaani kitendo cha yeye kushind UCL na EUROPA cup of nations , na Messi kukosa penalt yake dhid ya Chile.
Basi mwaka ndio uliishia pale
Messi hajawai kupoteza sababu hajawai shindana na mtu kwani Level zake ni za juu sanaJamani Messi akipoteza huwa nafurahi balaa.
Napenda kusikia Messi akipoteza ila kombe la Dunia (2014) huruma ya kibinadamu ilinijea sijui kwanini!
Ndiyo siku pekee niliyomuonea huruma Messi maishani mwangu.
Kama huyo ni invisible na KING ataitwajeinvisible cr7
Kwa hyo tuzo zenu za EATV ndio unafananisha na za FIFA?Tupe vigezo vyako au andaa tuzo zako....hukuwaona EATV?
Hivi wewe unajua lolote kwenye ulimwengu wa Soka kweli? Au una comment tu ili na wewe usisahauliwe uonekane upo kwenye hii Dunia?Haaa
Hao balon d or mbona maandazi hivi !! Messi kawaje wa pili Messi alitakiwa awe wa 4 baada ya Suarez na Griez
2014 ronaldo alitoka kapa makombe yote hakuchukua hata moja huku watu walichukua worldcup nk ila tuzo akachukua yy..usije shangaaJanuary asipo chukua Cr 7 nahamia Aleppo Syria, yaani kitendo cha yeye kushind UCL na EUROPA cup of nations , na Messi kukosa penalt yake dhid ya Chile.
Basi mwaka ndio uliishia pale
Fifa balon dor haipo tena,iliyotolewa jana ni balon dor ya january ni Fifa player of the yearFifa ballondor ni January
Aliyoshinda ni la jarida la France
Tuzo gani kila mtu yupo kwake,messi yupo Qatar,Griezman alikuwa anacheza dhidi ya Villarreal ,..January ndio kila kitu FIFA award