Baloteli asema msimfananishe tena Messi na mchezaji namba 7 wa Juve

Mshare wa Balotelli naona jana ulikua sawa[emoji23][emoji23]
 
Hakuna ligi ambayo haina hadhi Europe,aache woga,atoke aende ligi nyingine akachangamane na players wengine awike Kama wengine akina de lima,ronaldo,ronaldinho sio anajibanza hapo hapo spain,kuogopa challenge
 
Hiyo records ata Arturo Vidal na Zlatan ibrahimovic anayo
 
Kwa nini Messi asimfate CR7 italy aende hata Inter?... Hujui CR7 alimfata spain na ndiko amebeba uefa 4 na D'or 4 akiwa LA LIGA
Waambie hao inter wamnunue basi sio kutusumbua humu
 
Hakuna ligi ambayo haina hadhi Europe,aache woga,atoke aende ligi nyingine akachangamane na players wengine awike Kama wengine akina de lima,ronaldo,ronaldinho sio anajibanza hapo hapo spain,kuogopa challenge
League ambazo hazina hadhi ya Leonel messi mbona zipo nyingi tu ndugu ...Au unajifanya haujui !?
 
Na mimi nasema tena "messi apewe tuzo ya uchezaji bora ya muda wote ili wachezaji wengine washindanie ballon d or kwa amani bila ya kumkosea heshima messi"
Tutampatia akichukua kombe na Team ya taifa,vinginevyo tutamtambua mchezaji bora wa Barcelona muda wote kafanya balaa sana pale
 
Messi is not from this planet. Sure I'm telling you.

Believe me please!!
 
Tutampatia akichukua kombe na Team ya taifa,vinginevyo tutamtambua mchezaji bora wa Barcelona muda wote kafanya balaa sana pale

Argentina ni lazy goats, Defender wabovu, midfilder wabovu, kocha mbovu unategemea Messi afanye nin kwenye timu ya taifa, punguzeni chuki na mmkubali tu jamaa anajua, Ronaldo anajua position ya kufungia goal lakn kudribble, kuwatoka wachezaji hata wa nne, kucontrol mpira Hawezi, Messi anaweza vyote, istoshe Messi kapambana kaifikisha timu ya taifa mara mbili fainali za kombe la dunia, mara mbili fainali kombe la copa america, mpak mwenyewe akaamua kutak kustaaf tu timu ya taifa make aliona hana bahati...huyo pele, na maradona walifanya maajabu gani kwenye ngazi ya taifa pamoja na club, sana sana ni kwenye timu zao za taifa tuu, af kipind kile mpira ulikuwa local sana, sa hv kuna mpak VAR huwez tena funga gori la mkono unaumbuka mapema tuu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiwepo barcelona lakini.. Nje ya hapo ni fala mmoja tuu


takwimu za wachezaji bora kuwahi kutokea dunian, Pele yupo nafasi ya 3, Messi 2, Maradona 1.

Hzo takwimu ni kwa mjibu wa shirika la michezo la Ufaransa na sio takwimh za FIFA, hata TFF wanaweza kurealease rank yao kwa mtazamo wao...
 
Balotelli aliwahi kuulizwa swali amtaje mchezaji bora wa dunia anayemjua akajibu kuwa.
Nikitoka mimi kwa uchezaji bora nadhani anayeweza kunifuatia kwa ukaribu ni Messi.
Nililipenda mno jibu lake.
 
Hatubishani, na very soon.... hao wote wanakuwa nyuma ya Messi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…