Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ligi ambayo haina hadhi Europe,aache woga,atoke aende ligi nyingine akachangamane na players wengine awike Kama wengine akina de lima,ronaldo,ronaldinho sio anajibanza hapo hapo spain,kuogopa challengeNonsense. Hizo team za league nyingine zote zina yajua makali ya messi ..maana wanachanwa kila waki kutana UCL na miguu ya messi kama wembe ..... so unataka akacheze katika league ambayo sio hadhi yake ......
Yaani unataka bakhresa akaishi tandale sindio !?
Hiyo records ata Arturo Vidal na Zlatan ibrahimovic anayoPumba hizi, Ronaldo anaweka historia ya kutwaa makombe yote ya kwenye ligi kubwa duniani.
Messi muoga wa kujaribu.
Wote wawili wachezaji wazuri na wana style tofauti na kila mtu anaweza kusema lake kutokana na ushabiki.
Eti angeenda Atletico Madrid, to prove what?
Waambie hao inter wamnunue basi sio kutusumbua humuKwa nini Messi asimfate CR7 italy aende hata Inter?... Hujui CR7 alimfata spain na ndiko amebeba uefa 4 na D'or 4 akiwa LA LIGA
Toka alipofunga iyo amefunga lini tena?Umesahau ile freekick ya ronaldo vs Spain worldcup 18
Sas unatak afunge kila gameToka alipofunga iyo amefunga lini tena?
League ambazo hazina hadhi ya Leonel messi mbona zipo nyingi tu ndugu ...Au unajifanya haujui !?Hakuna ligi ambayo haina hadhi Europe,aache woga,atoke aende ligi nyingine akachangamane na players wengine awike Kama wengine akina de lima,ronaldo,ronaldinho sio anajibanza hapo hapo spain,kuogopa challenge
Mbona Messi anafunga kila mechi?Sas unatak afunge kila game
Ww acha uongo jombaaMbona Messi anafunga kila mechi?
Tutampatia akichukua kombe na Team ya taifa,vinginevyo tutamtambua mchezaji bora wa Barcelona muda wote kafanya balaa sana paleNa mimi nasema tena "messi apewe tuzo ya uchezaji bora ya muda wote ili wachezaji wengine washindanie ballon d or kwa amani bila ya kumkosea heshima messi"
Umedandia topic mkuu.. kuna jamaa amenielewaWaambie hao inter wamnunue basi sio kutusumbua humu
Fwalaa wewe achaa ushambengaaaWewe utakuwa tahira namba mbili ni nafas ya pele
Huyo mviziaji muwekeni kwenye top 50
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiwepo barcelona lakini.. Nje ya hapo ni fala mmoja tuuMessi is not from this planet. Sure I'm telling you.
Believe me please!!
takwimu za wachezaji bora kuwahi kutokea dunian, Pele yupo nafasi ya 3, Messi 2, Maradona 1.Wewe utakuwa tahira namba mbili ni nafas ya pele
Huyo mviziaji muwekeni kwenye top 50
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiwepo barcelona lakini.. Nje ya hapo ni fala mmoja tuu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Apambane na hali yakeeBut but but Messi have never scores against Crystal palace and Fulham
Tutampatia akichukua kombe na Team ya taifa,vinginevyo tutamtambua mchezaji bora wa Barcelona muda wote kafanya balaa sana pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiwepo barcelona lakini.. Nje ya hapo ni fala mmoja tuu
takwimu za wachezaji bora kuwahi kutokea dunian, Pele yupo nafasi ya 3, Messi 2, Maradona 1.
Balotelli aliwahi kuulizwa swali amtaje mchezaji bora wa dunia anayemjua akajibu kuwa.Wakati mtanange wa Jana wa Barcelona na Liverpool ukiendelea huku Messi aking'aa mchezaji mtukuku Maria Baloteli kupitia Instagram alipost alisema " kwa mapenzi ya Mungu naomba msimfananishe tena Messi na yule mchezaji namba 7 wa juvestus".
View attachment 1086136
Hatubishani, na very soon.... hao wote wanakuwa nyuma ya Messi!Argentina ni lazy goats, Defender wabovu, midfilder wabovu, kocha mbovu unategemea Messi afanye nin kwenye timu ya taifa, punguzeni chuki na mmkubali tu jamaa anajua, Ronaldo anajua position ya kufungia goal lakn kudribble, kuwatoka wachezaji hata wa nne, kucontrol mpira Hawezi, Messi anaweza vyote, istoshe Messi kapambana kaifikisha timu ya taifa mara mbili fainali za kombe la dunia, mara mbili fainali kombe la copa america, mpak mwenyewe akaamua kutak kustaaf tu timu ya taifa make aliona hana bahati...huyo pele, na maradona walifanya maajabu gani kwenye ngazi ya taifa pamoja na club, sana sana ni kwenye timu zao za taifa tuu, af kipind kile mpira ulikuwa local sana, sa hv kuna mpak VAR huwez tena funga gori la mkono unaumbuka mapema tuu
Hzo takwimu ni kwa mjibu wa shirika la michezo la Ufaransa na sio takwimh za FIFA, hata TFF wanaweza kurealease rank yao kwa mtazamo wao...