johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Like brother like sisterKwanini Hangaya anapenda kukurupuka kutoa kauli ambazo siyo za kweli?
Hao woote wamejazana ccmHaa nimekumbuka maneo haya,1.unafiki , 2.wahuni
Wote ni wa kupuuzwaaaaSasa tumwamini nani aliyegoma kwenye video yake kuwa kamwe hataruhusu au au mwenye mamlaka ya juu
Hatuna akili maana ccm imeshatupumbazaN atayari rais akamwambiwa waziri ni nonsense na wabongo wakashangilia
Ndio kama wao kwa wao wanagombana sisi tufanyeje?N atayari rais akamwambiwa waziri ni nonsense na wabongo wakashangilia
Balozi ndiyo muwakikishi wa nchi alikotokaBalozi anamanisha M7 na Chifu Ni waongo woote?
Huyo balozi anayepingana na marais wawili. NonsenseBalozi ndiyo muwakikishi wa wananchi
A country is not a company or a familyHuyo balozi anayepingana na marais wawili. Nonsense
marehemu na huyu, sawa sawa na 'both are answers'Balozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu.
Hata Bakhresa ambaye kiwanda chake badi kinajengwa huko Sadani anaimport sukari kutoka Uganda, amesema balozi
Hivyo taarifa alizotoa Rais Museveni kwa Rais Samia hazikuwa sahihi sana, ameandika balozi kwenye ukurasa wake wa twitter.
Maendeleo hayana vyama!
so whatA country is not a company or a family