Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mstaafu wa muda mrefu sana, muda mrefu sanaHuyo balozinongekuwa wakati wa awamu ya 5, kesho mngesikia uteuzi wa balozi mpya.
Huyo Mzee ni Balozi mstaafu.Huyo balozinongekuwa wakati wa awamu ya 5, kesho mngesikia uteuzi wa balozi mpya.
Mpungwe ni balozi mstaafu!!!Huyo balozinongekuwa wakati wa awamu ya 5, kesho mngesikia uteuzi wa balozi mpya.
uyo n balozi mstaafu hatujui intention yake n nnBalozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu.
Hata Bakhresa ambaye kiwanda chake badi kinajengwa huko Sadani anaimport sukari kutoka Uganda, amesema balozi
Hivyo taarifa alizotoa Rais Museveni kwa Rais Samia hazikuwa sahihi sana, ameandika balozi kwenye ukurasa wake wa twitter.
Maendeleo hayana vyama!
Unataka intention gani?H
uyo n balozi mstaafu hatujui intention yake n nn
Like brother like sister
Ni balozi mstaafu. Tena siku nyingi.Huyo balozinongekuwa wakati wa awamu ya 5, kesho mngesikia uteuzi wa balozi mpya.
Hii ni hatari kwa TAIFABalozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu.
Hata Bakhresa ambaye kiwanda chake badi kinajengwa huko Sadani anaimport sukari kutoka Uganda, amesema balozi
Hivyo taarifa alizotoa Rais Museveni kwa Rais Samia hazikuwa sahihi sana, ameandika balozi kwenye ukurasa wake wa twitter.
Maendeleo hayana vyama!
Labda kuna kitu sielewiBalozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu.
Hata Bakhresa ambaye kiwanda chake badi kinajengwa huko Sadani anaimport sukari kutoka Uganda, amesema balozi
Hivyo taarifa alizotoa Rais Museveni kwa Rais Samia hazikuwa sahihi sana, ameandika balozi kwenye ukurasa wake wa twitter.
Maendeleo hayana vyama!
..msikilize Waziri mwenyewe alichokisema ili ujiridhishe.Labda kuna kitu sielewi
Kwa nini kiwanda cha sukari kiagize sukari?
Nilidhani kiwanda cha sukari kinaprocess sugar's raw materials kutengeneza sugar.
..msikilize Waziri mwenyewe alichokisema ili ujiridhishe.
Weka ushahidi hapa."Harmonizer anacho kifua kizuri kama Cha tembo-samia suluh hasan 2021"