Hangaya kweli mweupe ina maana alikua hajui?
..hangaya alitakiwa awe na taarifa sahihi kuhusu biashara kati ya Tz na Ug wakati anakutana na rais museveni.
..na taarifa hizo alitakiwa apewe na wasaidizi wake, au aziagize toka kwa wasaidizi wake, kama sehemu ya kujiandaa na mkutano wake na raisi wa Ug.
..katika hili hangaya na timu yake wametuangusha. They did not do their home work.