Balozi Ami Mpungwe: Tanzania bado inanunua sukari Uganda, Rais Museveni hakumpa taarifa sahihi Rais Samia

sukari ya uganda ipo nyingi Tanzania nilidhan kuna sukari aina mpya za uganda anazozisemea mama
 
Ni kawaida yake kuchemka,rejea kesi ya ugaidi hata sisi raia wa kawaida tuna proper information.
 
Kwa vyovyote vile kauli ya Rais haikupaswa kutolewa kwa style ile na katika hadhira ile. Kauli za ukakasi angemuachia mwendazake zake tu aende nazo. Kumwita Waziri wako hafanyi kitu cha mantiki sio jambo jema hata kidogo.
 
Alishasema kuwa yeye na yule dhalim aliyeko motoni sasa ni kitu kimoja

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tutadondokea kwa mipango sasa hapo ni kila siku mtakua mnaombea watu vifo tu badala ya kuwaza njia nyingine za kujikwamua
Ndiyo maana aliidanganya dunia kupitia interview yake BBC kuwa washitakiwa wenzake Mbowe wameshahukumiwa na wako Jela. Ewe Mwenyezi Mungu ingilia kati tena kama ukivyofanya March mwaka huu

Hakika Mungu hajawahi kufeli na haya yanatokea ili neno litimie
 
"Harmonizer anacho kifua kizuri kama Cha tembo-samia suluh hasan 2021"
 
Tutadondokea kwa mipango sasa hapo ni kila siku mtakua mnaombea watu vifo tu badala ya kuwaza njia nyingine za kujikwamua
Watesi wetu wakifa kwetu ni vicheko tu, kama Mungu wetu akiwapatiliza watesi wetu sisi ni nani kupingana naye?
 
CCM ni takataka kabisa
 
Kwa vyovyote vile kauli ya Rais haikupaswa kutolewa kwa style ile na katika hadhira ile. Kauli za ukakasi angemuachia mwendazake zake tu aende nazo. Kumwita Waziri wako hafanyi kitu cha mantiki sio jambo jema hata kidogo.
Tena mbele ya wageni aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…