Balozi Ami Mpungwe: Tanzania bado inanunua sukari Uganda, Rais Museveni hakumpa taarifa sahihi Rais Samia

Balozi anatetea ugali...

Ukweli haufichiki kwamba Waziri alizuia sukari toka UG.

Au vipi naye atengue kauli..
 
H
uyo n balozi mstaafu hatujui intention yake n nn
 
Utaratibu wa importation ya sukari iko hivyo. Makampuni yanayozalisha ndio yanaruhusiwa kuingiza ili kuepuka sabotage. Na ndio picha aliojenga Balozi Ami Mpungwe hapo. Bora hata amejitokeza senior citizen and former civil servant.
 
Kama iliwezekana kupunguza mahaba ya urafiki kati ya JPM na SLIM kwa maslahi mapana ya Taifa, basi inawezekana pia kupunguza mahaba yanayojengeka kati ya M7 na SASHA kwa mslahi mapana ya Taifa.
 
Hii ni hatari kwa TAIFA

TUTAELEWANA TU
 
Balozi Mpungwe kama kweli ni mtu anayeheshimu imani yake,ajibie nini alifanya alipokua balozi wetu pale S.A. maana kuna tuhuma nyingi mno kuhusiana naye,ni vema akasafisha sitofahamu hii na pia alisaidia vipi watanzania wengi ambao wengi wao walipata matatizo makubwa ndani ya nchi ile na wengi kupelekea kupoteza maisha,asijifanye ana uchungu watanzania au nchi
 
Labda kuna kitu sielewi
Kwa nini kiwanda cha sukari kiagize sukari?
Nilidhani kiwanda cha sukari kinaprocess sugar's raw materials kutengeneza sugar.
 
Labda kuna kitu sielewi
Kwa nini kiwanda cha sukari kiagize sukari?
Nilidhani kiwanda cha sukari kinaprocess sugar's raw materials kutengeneza sugar.
..msikilize Waziri mwenyewe alichokisema ili ujiridhishe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…