Balozi Caroline Kitana Chipeta ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague

Balozi Caroline Kitana Chipeta ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Balozi Caroline Kitana Chipeta ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini Uholanzi

Balozi Chipeta alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje

62A5F52E-0788-4015-AE99-80840E601494.jpeg
 
Wazazi ukiwa na pesa somesha mtoto sana huyo balozi mwanasheria Chipeta kulikuwa na jaji mheshimiwa jaji Chipeta

Maji hufuata mkondo
Kama sijakosea origin yake ni malawi.

Hawa ndio Nyerere aliwachukua miaka ile tukiwa na uhaba wa wasomi watusaidie kwenye Judiciary.
 
Wazazi ukiwa na pesa somesha mtoto sana huyo balozi mwanasheria Chipeta kulikuwa na jaji mheshimiwa jaji Chipeta

Maji hufuata mkondo
Kabisaa huyu dada ni Mkwe wake jaji Chipeta,kaolewa na Walter mtoto wa jaji chipeta ambaye pia ni advocate,mzee jaji baada ya kustaafu anafanya kwenye firm ya mwanae Walter
 
Hamjaelewana padogo sana. Yeye kaongozwa na jina tu. Ni kweli Chipetas ni Malawi kwa asili
Baba Yake Ni Mmalawi alikua Judge Chipeta.

Nyerere aliwachukua kusaidia Judiciary.

Mbona Wamalawi wengi tu kwenye system yetu.

Hatuna tatizo nao.
 
Baba Yake Ni Mmalawi alikua Judge Chipeta.

Nyerere aliwachukua kusaidia Judiciary.

Mbona Wamalawi wengi tu kwenye system yetu.

Hatuna tatizo nao.
Unaona sasa unavyochemsha.
huyo mteule sio mtoto wa jaji Chipeta bali ni mkwe wake

Ameolewa na mtoto wa jaji Chipeta anaitwa Walter
 
Hamjaelewana padogo sana. Yeye kaongozwa na jina tu. Ni kweli Chipetas ni Malawi kwa asili
Chipeta ni jina la makabila ya mipakani
Tanzania wapo na Malawi wapo kusema ni wa Malawi sio sahihi kwa nini usiseme wa Tanzania na Malawi wako akina Chipeta?
 
Baba Yake Ni Mmalawi alikua Judge Chipeta.

Nyerere aliwachukua kusaidia Judiciary.

Mbona Wamalawi wengi tu kwenye system yetu.

Hatuna tatizo nao.
Hayo ni makabila ya mipakani majina yanafanana kila upande

Kwa nini useme ni wa Malawi na sio watanzania? Hata kama Malawi wakipata kiongozi anaitwa Chipeta?

Naibu mkuu wa majeshi Zambia alikuwa mtanzania alipokufa Zambia alikuja kuzikwa Tanzania aliletwa kwa gharama zao

Mipakani miingiliano sana
Watu walishangaa inakuwaje Naibu mkuu wa majeshi Zambia hazikwi Zambia familia inataka azikwe Tanzania ambako wengi wa wana familia wapo
 
Back
Top Bottom