Balozi Caroline Kitana Chipeta ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague

Balozi Caroline Kitana Chipeta ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague

Ni jambo jema
Bwashe mbona huyu chipeta ni Mmalawi? Hiyo nchi ndo imekuwa mwakilishi Wa TZ The Hague? Nauliza tu, zote ni nchi za kiafrika na tupo SADC. Wala haina shida? Au ni impact ya mzee Polepole huko?
 
Wazazi ukiwa na pesa somesha mtoto sana huyo balozi mwanasheria Chipeta kulikuwa na jaji mheshimiwa jaji Chipeta

Maji hufuata mkondo
Utasomesha sana, if you are no body in this country, utaomesha hadi suruali itoboke matak9 hutoona matokeo. Usiige Tembo kunya utapasuka msamba.
 
Back
Top Bottom