Balozi Caroline Kitana Chipeta ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague

Balozi Caroline Kitana Chipeta ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague

Hayo ni makabila ya mipakani majina yanafanana kila upande

Kwa nini useme ni wa Malawi na sio watanzania? Hata kama Malawi wakipata kiongozi anaitwa Chipeta?

Naibu mkuu wa majeshi Zambia alikuwa mtanzania alipokufa Zambia alikuja kuzikwa Tanzania aliletwa kwa gharama zao

Mipakani miingiliano sana
Watu walishangaa inakuwaje Naibu mkuu wa majeshi Zambia hazikwi Zambia familia inataka azikwe Tanzania ambako wengi wa wana familia wapo
Wakati tunapata uhuru Tanganyika ilikua na wasomi wachache mno.

Hivyo Nyerere aliazima wasomi toka Mataifa mengine.

Baada ya muda wapo waliorudi makwao na wapo waliobaki hapa.

Huyo jaji ni mmalawi na sio tatizo.

Kitengo chetu cha ulinzi wa viongozi PSU kilishawahi ongozwa na Raia wa kigeni, polisi, special Branch (Tiss) nakadhalika hivyo sio aibu kujulikana asili yake.

Ni jambo la kawaida mno maana sote sisi ni waafrika tu.
 
Baba Yake Ni Mmalawi alikua Judge Chipeta.

Nyerere aliwachukua kusaidia Judiciary.

Mbona Wamalawi wengi tu kwenye system yetu.

Hatuna tatizo nao.
Wao ndio wana tatizo na sisi,kile kiande cha ziwa nyasa.
 
Huo ndio ukweli wenyewe.

Chipeta ni watu wa Malawi

Na Mzee wake ni Mmalawi.

That's it.

Sio Wamalawi ni kwamba zamani ni yale makabila ambayo yametegwa na mpaka kama wakurya na wanassai lakini kwao ni palepale walipo. Kuna wanyasa pande zote. Malawi ni taifa sio kabila na Jaji Chipeta sio Wamalawi ni Mtanzania
 
Tumpe hongera zake.
Heri aende yeye kuliko wanajeshi na mapolisi wanaopewa kazi za kidiplomasia.
 
Tumpe hongera zake.
Heri aende yeye kuliko wanajeshi na mapolisi wanaopewa kazi za kidiplomasia.
Lakini nchini kwako wanaletwa wa hivyo kutoka mataifa mengine. Tanzania bado tumedumaa sana kichwani na hatujui mambo mengi sana na hatuna exposure hata kidogo. Tanzania mtu akisikia engineer fulani kateuliwa kuwa balozi yeye anaona ni sawa, lakini akisikia Polisi au Jeshi kateuliwa Balozi anaona sio sawa, yaani hata kama huyo Police ana degree zake za kutosha tu. Kiukweli sisi ni washamba sana na IQ zetu is very low
 
Mimi kama mimi ningependa wanadiplomasia ndio wawe mabalozi. Hii itawapa moyo watu kusomea hiyo fani.
Hawa wanaoteuliwa kisiasa kama wanajeshi, sijui polisi nk ndio ila wasiwe wengi kama kipindi cha Magu.
 
Kabisaa huyu dada ni Mkwe wake jaji Chipeta,kaolewa na Walter mtoto wa jaji chipeta ambaye pia ni advocate,mzee jaji baada ya kustaafu anafanya kwenye firm ya mwanae Walter
Khe nawe umechanganya mambo
Mzee Chipeta alishafariki
Mmalawi sawa lakini Watoto walizaliwa Tz what’s a problem…. Ni WaTz let’s move on

Kuna mmoja kasema sijui muislam… Caroline ni mkristu pure
Mbona tuko hivi? Wivu mbaya
 
Back
Top Bottom