NewChapter
Senior Member
- May 17, 2024
- 173
- 123
Kuna kila dalili asasi na azaki mbalimbali pamoja na watu mbalimbali wanaonesha kiu ya kuongozwa na mwanadiplomasia huyu mbobevu wa Kimataifa.
Sababu za kwanini awe Nchimbi,
1. Unyenyekevu kwa Mama Tanzania, huyu Nchimbi yeye yuko tayari awe chini ila Tanzania iwe juu kwa lolote ( rejea press yake ya majuzi )
2. Hana tuhuma yoyote ya wizi Wala Ufisadi au rushwa popote the man is totally clean.
3. Anamahusiano mazuri sana na vyama vyote 19 rafiki nchini.
4. Anaungwa mkono na Viongozi wa dini hasa kanisa kubwa Katoliki kwani ni mseminari kwa Elimu yake.
5. Maneno yake mengi ni katika kuliunganisha Taifa na yeye ndio nembo ya umoja na amani kwa Taifa ndani ya CCM na nje ya CCM Kwa Sasa.
6. Nchimbi ni muumini wa nchi kuongozwa kidiplomasia zaidi huku akithamini zaidi mahusiano ya Kimataifa kwani si rahisi kuishi kama Kijiji.
7. Anaamini katika haki za kila kundi huku akichukizwa zaidi na aina yoyote ya uonevu kwa mtanzania yeyote wa itikadi au rangi yoyote.
#WATANZANIA KWA SASA NI NCHIMBI