Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Tunataka Babu mmoja twende kama Nigeria full stop.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia tlp auRais baada ya Samia ni David Kafulila
Ova.
😂😂😂Tunataka Babu mmoja twende kama Nigeria full stop.
Natamani sana Bashe 2030!Kama unampenda kanywe nae chai...
2030 watanzania wanataka mtu asiye na kundi...
Nchimbi na Kafulila wanastahili sanaSawa
Nilidhani Zamu ya Walokole akina Waumini wa Mwamposa 😄🌹
Uadilifu shidaNatamani sana Bashe 2030!
Tutafute watu aina ya Mtaka na Mavunde...Natamani sana Bashe 2030!
Huwa naona Bashe yuko Ngangari sana kwenye kilimo hatanii anataka kuona kilimo kiko juu na naamini akipewa rungu la Urais huyu ni next Magufuli trust me.Tutafute watu aina ya Mtaka na Mavunde...
Ni watendaji wazuri na hawana makundi...
Bashe atairudisha team Lowassa...
Ni kweli Bashe anajitahidi kwenye kilimo...Huwa naona Bashe yuko Ngangari sana kwenye kilimo hatanii anataka kuona kilimo kiko juu na naamini akipewa rungu la Urais huyu ni next Magufuli trust me. Binafsi sioni waziri mwingine mwenye mzuka na kazi yake zaidi ya Bashe.
Mamvi kaenda na kundi lake mzee!!
View attachment 3102746
Kuna kila dalili asasi na azaki mbalimbali pamoja na watu mbalimbali wanaonesha kiu ya kuongozwa na mwanadiplomasia huyu mbobevu wa Kimataifa.
Sababu za kwanini awe Nchimbi,
1. Unyenyekevu kwa Mama Tanzania, huyu Nchimbi yeye yuko tayari awe chini ila Tanzania iwe juu kwa lolote ( rejea press yake ya majuzi )
2. Hana tuhuma yoyote ya wizi Wala Ufisadi au rushwa popote the man is totally clean.
3. Anamahusiano mazuri sana na vyama vyote 19 rafiki nchini.
4. Anaungwa mkono na Viongozi wa dini hasa kanisa kubwa Katoliki kwani ni mseminari kwa Elimu yake.
5. Maneno yake mengi ni katika kuliunganisha Taifa na yeye ndio nembo ya umoja na amani kwa Taifa ndani ya CCM na nje ya CCM Kwa Sasa.
6. Nchimbi ni muumini wa nchi kuongozwa kidiplomasia zaidi huku akithamini zaidi mahusiano ya Kimataifa kwani si rahisi kuishi kama Kijiji.
7. Anaamini katika haki za kila kundi huku akichukizwa zaidi na aina yoyote ya uonevu kwa mtanzania yeyote wa itikadi au rangi yoyote.
#WATANZANIA KWA SASA NI NCHIMBI
Huyo ndiye mgombea wa CCM mwaka 2025View attachment 3102746

Nchimbi oyeeeeeeee, Nchimbi safiiiiiiiView attachment 3102746

Hatakiwi na nani? Na wahuni wa ccm au wananchi?Ungejua? nchimbi hatakiwi
2030 ipi Tena si tumekubaliana ni 2025 ???Kama unampenda kanywe nae chai...
2030 watanzania wanataka mtu asiye na kundi...
Ila Huwa mnachekesha sana, yaani Kafulila hata chaguo la 200 la wanaotakiwa hayumoRais baada ya Samia ni David Kafulila
Ova.
Watamtupia jini sasa hiviHuyo ndiye mgombea wa CCM mwaka 2025