Tetesi: Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi anaandaliwa kumrithi Rais Samia

Tuokoeni Katolikii,nchii imepoteza mwelekeo.Ila huyu uliotajaaa simkubali kwakweli.............
 
View attachment 3102746
Kuna kila dalili asasi na azaki mbalimbali pamoja na watu mbalimbali wanaonesha kiu ya kuongozwa na mwanadiplomasia huyu mbobevu wa Kimataifa.

Sababu za kwanini awe Nchimbi,

1. Unyenyekevu kwa Mama Tanzania, huyu Nchimbi yeye yuko tayari awe chini ila Tanzania iwe juu kwa lolote ( rejea press yake ya majuzi )

2. Hana tuhuma yoyote ya wizi Wala Ufisadi au rushwa popote the man is totally clean.

3. Anamahusiano mazuri sana na vyama vyote 19 rafiki nchini.

4. Anaungwa mkono na Viongozi wa dini hasa kanisa kubwa Katoliki kwani ni mseminari kwa Elimu yake.

5. Maneno yake mengi ni katika kuliunganisha Taifa na yeye ndio nembo ya umoja na amani kwa Taifa ndani ya CCM na nje ya CCM Kwa Sasa.

6. Nchimbi ni muumini wa nchi kuongozwa kidiplomasia zaidi huku akithamini zaidi mahusiano ya Kimataifa kwani si rahisi kuishi kama Kijiji.

7. Anaamini katika haki za kila kundi huku akichukizwa zaidi na aina yoyote ya uonevu kwa mtanzania yeyote wa itikadi au rangi yoyote.

#WATANZANIA KWA SASA NI NCHIMBI
ukweli na uhakika vimekaribiana sana juu ya tetesi hii dah 🐒
 
Rais baada ya Samia ni David Kafulila

Ova.
Ndoa tu imemshinda ataweza nchi.
Mtu ameshindwa kum control mwanamke mmoja ataweza kusimamia majeshi?
Kashindwa kuiweka familia pamoja ataweza Baraza la mawaziri?
 
View attachment 3102746
Kuna kila dalili asasi na azaki mbalimbali pamoja na watu mbalimbali wanaonesha kiu ya kuongozwa na mwanadiplomasia huyu mbobevu wa Kimataifa.

Sababu za kwanini awe Nchimbi,

1. Unyenyekevu kwa Mama Tanzania, huyu Nchimbi yeye yuko tayari awe chini ila Tanzania iwe juu kwa lolote ( rejea press yake ya majuzi )

2. Hana tuhuma yoyote ya wizi Wala Ufisadi au rushwa popote the man is totally clean.

3. Anamahusiano mazuri sana na vyama vyote 19 rafiki nchini.

4. Anaungwa mkono na Viongozi wa dini hasa kanisa kubwa Katoliki kwani ni mseminari kwa Elimu yake.

5. Maneno yake mengi ni katika kuliunganisha Taifa na yeye ndio nembo ya umoja na amani kwa Taifa ndani ya CCM na nje ya CCM Kwa Sasa.

6. Nchimbi ni muumini wa nchi kuongozwa kidiplomasia zaidi huku akithamini zaidi mahusiano ya Kimataifa kwani si rahisi kuishi kama Kijiji.

7. Anaamini katika haki za kila kundi huku akichukizwa zaidi na aina yoyote ya uonevu kwa mtanzania yeyote wa itikadi au rangi yoyote.

#WATANZANIA KWA SASA NI NCHIMBI
Anaeandaliwa keshajulikana huyo anapiga deki tu
 
Ok. Tuseme anafaa. Tuseme wachangiaji wote tunamkubali. Lengo la hii mada hapa JF ni lipi hasa? Tumpigie kura? Tumpigie kampeni? Anakuwaje Rais?
 
View attachment 3102746
Kuna kila dalili asasi na azaki mbalimbali pamoja na watu mbalimbali wanaonesha kiu ya kuongozwa na mwanadiplomasia huyu mbobevu wa Kimataifa.

Sababu za kwanini awe Nchimbi,

1. Unyenyekevu kwa Mama Tanzania, huyu Nchimbi yeye yuko tayari awe chini ila Tanzania iwe juu kwa lolote ( rejea press yake ya majuzi )

2. Hana tuhuma yoyote ya wizi Wala Ufisadi au rushwa popote the man is totally clean.

3. Anamahusiano mazuri sana na vyama vyote 19 rafiki nchini.

4. Anaungwa mkono na Viongozi wa dini hasa kanisa kubwa Katoliki kwani ni mseminari kwa Elimu yake.

5. Maneno yake mengi ni katika kuliunganisha Taifa na yeye ndio nembo ya umoja na amani kwa Taifa ndani ya CCM na nje ya CCM Kwa Sasa.

6. Nchimbi ni muumini wa nchi kuongozwa kidiplomasia zaidi huku akithamini zaidi mahusiano ya Kimataifa kwani si rahisi kuishi kama Kijiji.

7. Anaamini katika haki za kila kundi huku akichukizwa zaidi na aina yoyote ya uonevu kwa mtanzania yeyote wa itikadi au rangi yoyote.

#WATANZANIA KWA SASA NI NCHIMBI
Mimi pia namtaka Nchimbi
 
Baada ya Jose kukata moto huyu ndio aliandaliwa kuwa Makamu. Kigoma ikafanya yake
 
Huyu ni Bora mara 1000 , akapewa nafasi 2025.

Yule bibi hapana,hapana
 
Sawa

Nilidhani Zamu ya Walokole akina Waumini wa Mwamposa 😄🌹
Wale ni big NO ...kuliko kuongozwa na mlokole Bora aje atheist...
NB: WALOKOLE WANA MENTALITY MBOVU SANA KUHUSU NON-MLOKOLE
 
Back
Top Bottom