Tetesi: Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi anaandaliwa kumrithi Rais Samia

Daaah
 
Nitamtafuta nimueleze nilichotendewa na Ccm maslahi kama akiweza kulimaliza jambo hili basi nami nitamuunga mkono kwamba kweli anafaa kupeperusha bendera ya Ccm 2030 😳🙄🙌
 
ccm wakalitazame hili kuliponya Taifa 2025. Mwl Nyerere alisema mabadiliko yasipatikana ndani ya CCM yatapatikana nje ya CCM.
 
Kwa kweli binafsi ni matamanio yangu pia

PLus:
1.Ana msimamo usioyumba
2.Ana uzoefu ndani na nje ya nchi.(exposure)
3.Ni mwadilifu- sjawahi kusikia kashfa kumhusu
4.Anapenda democrasia na ana uwezo wa kukidhibiti chama vyema maana anakijua vyema.
5.Sio bepari kindakindaki bado ana ujamaa ndani yake (uchumi bora kwa wate nq sio kwq mqkundi flani)
 
Ikulu si pango la walanguzi by Mwl Nyerere. Ikulu kuna biashara gani hadi watu wanang'ang'ania madaraka namna hii?
 
Mseminari Nchimbi
 
Ikulu si pango la walanguzi by Mwl Nyerere. Ikulu kuna biashara gani hadi watu wanang'ang'ania madaraka namna hii?
Hupendi kuwa Mungu wa Tanzania

Maana Kwa Katiba yetu, Rais wa Nchi anafananishwa na Mungu wa mbinguni

Yupo above all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…