Tetesi: Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi anaandaliwa kumrithi Rais Samia

Tutafute watu aina ya Mtaka na Mavunde...

Ni watendaji wazuri na hawana makundi...

Bashe atairudisha team Lowassa...
Huwa naona Bashe yuko Ngangari sana kwenye kilimo hatanii anataka kuona kilimo kiko juu na naamini akipewa rungu la Urais huyu ni next Magufuli trust me.

Binafsi sioni waziri mwingine mwenye mzuka na kazi yake zaidi ya Bashe. Naamini akipewa Urais hiyo 2030 atanyoosha kila kisicho sawa, wasomali ngangari sana wakipewa rungu angalia Eng Hersi kule Yanga.

Mamvi keshaenda na kundi lake mzee!! Hiyo 2030 wengi wao watakuwa hawana tena maajabu! Kumbuka kwenye siasa there is no permanent friend or enemy!!
 
Ni kweli Bashe anajitahidi kwenye kilimo...

Mfano kwenye kilimo cha tumbaku hatuna deni nae...

Hayo makundi hayafagi mkuu, angalia watu kama kina Bashiru, Kabudi, Lukuvi kina Makonda

Hawa wanaweza kua wanamtii Magufuli ambaye hayupo kuliko Samia...

Hapa mmoja akiwa raisi, utaiona serikali inayoakisi maono ya Magufuli yanashika kasi...

Hata hao kina Makamba wakishika madaraka, serikali zao zitakua Kikwete mtupu...

So na huyu Bashe hatokua tofauti na Godfather wake, japo hayupo...

Ni vizuri tupate test mpya ya uongozi, ambaye atakuja kuyaunganisha hayo makundi yote tuijenge nchi yetu...
 


1,000,000% nakubali, anafaa zaidi kutuongoza watanzania baada ya Mama Samia kumaliza muda wake 👍👍
 
Huyo ndiye mgombea wa CCM mwaka 2025
 
Nchimbi oyeeeeeeee, Nchimbi safiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…