Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea kuonyesha kwanini vyama mbalimbali huja kujifunza kwa CCM masuala ya uongozi na siasa.

Katika kuendelea na uongozi wake kama chama kiongozi Barani Afrika. CCM kupitia Katibu Mkuu wake Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ameongoza Ujumbe wa CCM katika kushiriki kikamilifu kabisa na katika hatua zote kutoa heshima na kumpumzisha katika Nyumba yake ya Milele Baba wa Taifa hilo la Namibia.

CCM inaendelea kugusa Mioyo ya watu wa Mataifa mbalimbali Barani Afrika. CCM ni chama ambacho utakiona wakati wa furaha na wakati wa huzuni utaiona CCM mstari wa mbele kabisa ikitoa faraja na kuwafuta machozi watu .Sasa CCM ipo mstari wa mbele Namibia kuwafuta machozi wana Namibia na kuwapa faraja wakati huu mgumu kwa Taifa lao.

Hii hapa chini taarifa Rasmi ya CCM chama kiongozi Barani Afrika👎

👉BALOZI NCHIMBI AWASILI NAMIBIA MSIBA WA SAM NUJOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili nchini Namibia, akiongoza ujumbe wa CCM kwenye mazishi ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba wa Taifa hilo, Dkt. Sam Shafiishuna Nujoma, yatakayofanyika tarehe 1 Machi, 2025.

Balozi Dkt. Nchimbi pamoja na msafara wake aliongozana nao, ambao pia yumo Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdalla Hamid, aliwasili Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Hosea Kutako, jijini Windhoek, na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Namibia, Mhe. Mhe. Caesar Waitara, tarehe 26 Februari 2025.

Balozi Nchimbi atashiriki ratiba mbalimbali za utoaji wa heshima za mwisho na kumuaga Dkt. Sam Nujoma, kuanzia tarehe 27 Februari 2025, ambapo Chama Tawala cha Namibia, SWAPO, ambacho ni rafiki wa kihistoria wa CCM, kimeandaa shughuli kwa ajili ya heshima ya mwasisi wake huyo.

Baada ya hapo, Balozi Nchimbi atashiriki ibada ya kitaifa ya kumuaga Hayati Dkt. Nujoma iliyopangwa kufanyika tarehe 28 Februari 2025, kabla ya shughuli ya mazishi ya kitaifa itakayofanyika tarehe 1 Machi 2025, katika eneo la makaburi ya mashujaa, yaliyoko makao makuu ya nchi hiyo, jijini Windhoek.

Uhusiano kati ya Namibia na Tanzania, halikadhalika CCM na SWAPO na watu wa nchi hizo mbili, ni wa kihistoria, ukiwa umejengwa katika misingi imara tangu wakati wa harakati za kupigania uhuru dhidi ya wakoloni na makaburu.

Itakumbukwa kuwa Hayati Dkt. Nujoma na viongozi na wanachama wengi wa SWAPO na Namibia waliishi maeneo mbalimbali uhamishoni nchini Tanzania, tangu miaka ya 1960, wakishiriki mapambano ya kupigania uhuru wa nchi yao, ambako pia ndipo walipoanzisha Chama cha SWAPO ili kuendesha shughuli za kuikomboa nchi yao kisiasa, hadi walipopata uhuru mwaka 1990.

Screenshot_20250227-103138_1.jpg
Screenshot_20250227-103147_1.jpg
Screenshot_20250227-103156_1.jpg
Screenshot_20250227-103206_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea kuonyesha kwanini vyama mbalimbali huja kujifunza kwa CCM masuala ya uongozi na siasa.

Katika kuendelea na uongozi wake kama chama kiongozi Barani Afrika. CCM kupitia Katibu Mkuu wake Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ameongoza Ujumbe wa CCM katika kushiriki kikamilifu kabisa na katika hatua zote kutoa heshima na kumpumzisha katika Nyumba yake ya Milele Baba wa Taifa hilo la Namibia.

CCM inaendelea kugusa Mioyo ya watu wa Mataifa mbalimbali Barani Afrika. CCM ni chama ambacho utakiona wakati wa furaha na wakati wa huzuni utaiona CCM mstari wa mbele kabisa ikitoa faraja na kuwafuta machozi watu .Sasa CCM ipo mstari wa mbele Namibia kuwafuta machozi wana Namibia na kuwapa faraja wakati huu mgumu kwa Taifa lao.

Hii hapa chini taarifa Rasmi ya CCM chama kiongozi Barani Afrika👎

👉BALOZI NCHIMBI AWASILI NAMIBIA MSIBA WA SAM NUJOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili nchini Namibia, akiongoza ujumbe wa CCM kwenye mazishi ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba wa Taifa hilo, Dkt. Sam Shafiishuna Nujoma, yatakayofanyika tarehe 1 Machi, 2025.

Balozi Dkt. Nchimbi pamoja na msafara wake aliongozana nao, ambao pia yumo Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdalla Hamid, aliwasili Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Hosea Kutako, jijini Windhoek, na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Namibia, Mhe. Mhe. Caesar Waitara, tarehe 26 Februari 2025.

Balozi Nchimbi atashiriki ratiba mbalimbali za utoaji wa heshima za mwisho na kumuaga Dkt. Sam Nujoma, kuanzia tarehe 27 Februari 2025, ambapo Chama Tawala cha Namibia, SWAPO, ambacho ni rafiki wa kihistoria wa CCM, kimeandaa shughuli kwa ajili ya heshima ya mwasisi wake huyo.

Baada ya hapo, Balozi Nchimbi atashiriki ibada ya kitaifa ya kumuaga Hayati Dkt. Nujoma iliyopangwa kufanyika tarehe 28 Februari 2025, kabla ya shughuli ya mazishi ya kitaifa itakayofanyika tarehe 1 Machi 2025, katika eneo la makaburi ya mashujaa, yaliyoko makao makuu ya nchi hiyo, jijini Windhoek.

Uhusiano kati ya Namibia na Tanzania, halikadhalika CCM na SWAPO na watu wa nchi hizo mbili, ni wa kihistoria, ukiwa umejengwa katika misingi imara tangu wakati wa harakati za kupigania uhuru dhidi ya wakoloni na makaburu.

Itakumbukwa kuwa Hayati Dkt. Nujoma na viongozi na wanachama wengi wa SWAPO na Namibia waliishi maeneo mbalimbali uhamishoni nchini Tanzania, tangu miaka ya 1960, wakishiriki mapambano ya kupigania uhuru wa nchi yao, ambako pia ndipo walipoanzisha Chama cha SWAPO ili kuendesha shughuli za kuikomboa nchi yao kisiasa, hadi walipopata uhuru mwaka 1990.View attachment 3251587View attachment 3251589View attachment 3251590View attachment 3251592

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Alaaniwe Baba yako aliyekojoa shahawa chafu ukazaliwa Choko Lucas Mwashambwa
 
Kipaumbele ni kipi ? Charity begins at Home kama nyumbani watu wanalala njaa na huwajali kwa majirani utakuwa unakwenda kuuza sura au kudowea chakula....

On that token CCM (wakati bado ni TANU) niliipa Heshima ilivyokuwa na Msimamo kama huu hapa chini (Yaani kipindi bado ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi na Sio Chama cha Madalali kama kilivyo sasa hivi)

  • CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia riziki yake. Nawaomba ardhi - hakuna ardhi; hamnipi ardhi, Mnasema "Ardhi hakuna". Naomba kazi ya kibarua basi, Nipeni basi ya kibarua, "Hamnipi kazi ya kibarua. Mimi niko tayari kabisa kufanya kazi au ya kulima au ya kibarua chochote nipeni. Hamnipi Chama Chetu kinasema MTANILISHA.
 
Huyu mzee ameenda kwa gharama za nani? hapa kutakuwa kuna fisadi fedha za umma zimepigwa haswa.
 
Back
Top Bottom