Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na kuishiwa ajenda na sera,wakati CHADEMA ikiwa imepoteza ushawishi na kupuuzwa na watanzania na hivyo kushindwa hata kufanya ziara mikoani.

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Jasusi Mbobezi wa kisiasa,Mwamba wa kusini,kiboko ya upinzani, Kiongozi Mwenye misimamo na mzalendo wa kweli asiye teteleka wala kuyumba ,aliyejenga nidhamu na heshima ndani ya CCM kwa kushirikiana na Mwenyekiti wetu Shujaa na Jemedari wetu hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Anatarajia kufanya ziara nzito sana mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi akiongozana na wajumbe wa secretarieti.Ambapo katika ziara hiyo nzito atazungumzia na kugusa masuala mbalimbali pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kuwasikiliza wananchi kero zao kama ilivyo kawaida ya usikivu wa CCM kwa watanzania.ikumbukwe ya kuwa kwa utafiti imeonyesha huyu ndiye katibu mkuu bora Mwenye nguvu , Ushawishi,anayeheshimika ,kukubalika na kusikilizwa sana kwa vyama vyote vya ukombozi kusini Mwa jangwa la Sahara.

Ni Katibu Mkuu ambaye haogopi kusema ukweli na kumkemea mtu yeyote yule atakayekwenda kinyume na maadili,ni kiongozi ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwake cheo ni dhamana na utumishi kwa watu. tutarajie makubwa katika ziara hiyo na kuona utofauti wa katibu Mkuu wa chama Tawala na vile vyama vya kuokoteza vijihoja na usaka Tonge kama ilivyo kwa CHADEMA.
Screenshot_20240727-073403_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Wanawa prune February na Mnauye??
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu alijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepoteza kabisa mitaani kutokama na kuishiwa ajenda na sera,wakati CHADEMA ikiwa imepoteza ushawishi nakupuuzwa na watanzania pamoja na hivyo kushindwa hata kufanya ziara mikoani.

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Jasusi Mbobezi wa kisiasa,Mwamba wa kusini,kiboko ya upinzani, Kiongozi Mwenye misimamo na mzalendo wa kweli asiye teteleka wala kuyumba ,aliyejenga nidhamu na heshima ndani ya CCM kwa kushirikiana na Mwenyekiti wetu Shujaa na Jemedari wetu hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Anatarajia kufanya ziara nzito sana mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi akiongozana na wajumbe wa secretarieti.Ambapo katika ziara hiyo nzito atazungumzia na kugusa masuala mbalimbali pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kuwasikiliza wananchi kero zao kama ilivyo kawaida ya usikivu wa CCM kwa watanzania.ikumbukwe ya kuwa kwa utafiti imeonyesha huyu ndiye katibu mkuu bora Mwenye nguvu , Ushawishi,anayeheshimika ,kukubalika na kusikilizwa sana kwa vyama vyote vya ukombozi kusini Mwa jangwa la Sahara.

Ni Katibu Mkuu ambaye haogopi kusema ukweli na kumkemea mtu yeyote yule atakayekwenda kinyume na maadili,ni kiongozi ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwake cheo ni dhamana na utumishi kwa watu. tutarajie makubwa katika ziara hiyo na kuona utofauti wa katibu Mkuu wa chama Tawala na vile vyama vya kuokoteza vijihoja na usaka Tonge kama ilivyo kwa CHADEMA.View attachment 3053315

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hana lolote huyu mpiga porojo kisiasa. Wananchi wanataka ccm ya utawala wa haki. Wananchi wa kawaida wananyanyasika kudhulumiwa haki zao halafu unakuta kiongozi anahubiri utawala wa sheria wakati wanasheria na wenye mamlaka wanaachwa kuuza na kununua haki. Haki imegeuzea bidhaa. Papo hapo utasikia vigogo wanatetea uhuru wa mahakama. Nchimbi kama anataka kukubalika asikilize kero za wananchi kwa njia ya kimapinduzi sio eti kisayansi. Akaribishe shida na kero hadharani vigogo wajibu shutuma hadharani. Hii ndio njia inapunguza dhuluma. Wala rushwa kutajwa kuabika wasipoweza kutoa majibu kisha kuchukuliwa hatua.
 
Nchimbi na Makalla hakuna wanasiasa hapo, ni michosho tu.
 
Lukasi hujasema chochote kuhusu mkuu wa mkoa wa Arusha, tafadhali tamka kitu sheikh
Kashiriki kumlambisha, atasema nini?

Huko ccm mtu akiwa amenyooka kama rula ajiandaye kwa mambo matatu:-1. Zengwe 2. Fitina 3. Kurogwa (by balozi Polepole)
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu alijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepoteza kabisa mitaani kutokama na kuishiwa ajenda na sera,wakati CHADEMA ikiwa imepoteza ushawishi nakupuuzwa na watanzania pamoja na hivyo kushindwa hata kufanya ziara mikoani.

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Jasusi Mbobezi wa kisiasa,Mwamba wa kusini,kiboko ya upinzani, Kiongozi Mwenye misimamo na mzalendo wa kweli asiye teteleka wala kuyumba ,aliyejenga nidhamu na heshima ndani ya CCM kwa kushirikiana na Mwenyekiti wetu Shujaa na Jemedari wetu hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Anatarajia kufanya ziara nzito sana mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi akiongozana na wajumbe wa secretarieti.Ambapo katika ziara hiyo nzito atazungumzia na kugusa masuala mbalimbali pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kuwasikiliza wananchi kero zao kama ilivyo kawaida ya usikivu wa CCM kwa watanzania.ikumbukwe ya kuwa kwa utafiti imeonyesha huyu ndiye katibu mkuu bora Mwenye nguvu , Ushawishi,anayeheshimika ,kukubalika na kusikilizwa sana kwa vyama vyote vya ukombozi kusini Mwa jangwa la Sahara.

Ni Katibu Mkuu ambaye haogopi kusema ukweli na kumkemea mtu yeyote yule atakayekwenda kinyume na maadili,ni kiongozi ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwake cheo ni dhamana na utumishi kwa watu. tutarajie makubwa katika ziara hiyo na kuona utofauti wa katibu Mkuu wa chama Tawala na vile vyama vya kuokoteza vijihoja na usaka Tonge kama ilivyo kwa CHADEMA.View attachment 3053315

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ccm hakuna Mzalendo kuna wezi tuu hivyo usipende kutumia neno Mzalendo kwenye wezi watu mliodanganya raisi aweke mabango yenye picha yake kama cocacola Pepsi tigo na vodacom mkapiga billion 4 huo uzalendo mnautoa wapi.
 
Hana lolote huyu mpiga porojo kisiasa. Wananchi wanataka ccm ya utawala wa haki. Wananchi wa kawaida wananyanyasika kudhulumiwa haki zao halafu unakuta kiongozi anahubiri utawala wa sheria wakati wanasheria na wenye mamlaka wanaachwa kuuza na kununua haki. Haki imegeuzea bidhaa. Papo hapo utasikia vigogo wanatetea uhuru wa mahakama. Nchimbi kama anataka kukubalika asikilize kero za wananchi kwa njia ya kimapinduzi sio eti kisayansi. Akaribishe shida na kero hadharani vigogo wajibu shutuma hadharani. Hii ndio njia inapunguza dhuluma. Wala rushwa kutajwa kuabika wasipoweza kutoa majibu kisha kuchukuliwa hatua.
Naona humfahamu vyema Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi.yule ni jembe kwelikweli.ambapo hata CHADEMA wenyewe Wanamuogopa sana maana wanajuwa anawasambaratisha kabisa.
 
Back
Top Bottom