Umeitaja mara ya 6 Chadema Kwa jinsi inavyokutia kiwewe. Na bado!Naona humfahamu vyema Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi.yule ni jembe kwelikweli.ambapo hata CHADEMA wenyewe Wanamuogopa sana maana wanajuwa anawasambaratisha kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeitaja mara ya 6 Chadema Kwa jinsi inavyokutia kiwewe. Na bado!Naona humfahamu vyema Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi.yule ni jembe kwelikweli.ambapo hata CHADEMA wenyewe Wanamuogopa sana maana wanajuwa anawasambaratisha kabisa.
Hakudharau ila unajidharaulisha mwenyewe. Uwe unachagua point za kuandika na kumjibu mtu. Watu wa leo siyo wa mwaka 47Acha dharau dogo
Bila shaka nawe kimo chako cha uelewa ni kifupi sana kama huyo mwenzako.Hakudharau ila unajidharaulisha mwenyewe. Uwe unachagua point za kuandika na kumjibu mtu. Watu wa leo siyo wa mwaka 47
Mimi naandika ukweli na siyo kusifia.Umeshawahi kuona naandika magazeti humu kusifia watu sifa za kijinga? Headless chicken.
Unasifia ujinga ujinga tuMimi naandika ukweli na siyo kusifia.
Ni chizi hilo halina akiliUnasifia ujinga ujinga tu
Huyu shetani anatakiwa akatibiweUchawa na ushoga ni kitu kimoja tu
CCM principle no 1 ni wiziCcm hakuna Mzalendo kuna wezi tuu hivyo usipende kutumia neno Mzalendo kwenye wezi watu mliodanganya raisi aweke mabango yenye picha yake kama cocacola Pepsi tigo na vodacom mkapiga billion 4 huo uzalendo mnautoa wapi.
Chadema kinakufa🤣🤣🤣 leo wanakiwasha hapa Nzega stendi ya zamani. Karibu.Ndugu zangu Watanzania,
Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na kuishiwa ajenda na sera,wakati CHADEMA ikiwa imepoteza ushawishi na kupuuzwa na watanzania na hivyo kushindwa hata kufanya ziara mikoani.
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Jasusi Mbobezi wa kisiasa,Mwamba wa kusini,kiboko ya upinzani, Kiongozi Mwenye misimamo na mzalendo wa kweli asiye teteleka wala kuyumba ,aliyejenga nidhamu na heshima ndani ya CCM kwa kushirikiana na Mwenyekiti wetu Shujaa na Jemedari wetu hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Anatarajia kufanya ziara nzito sana mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi akiongozana na wajumbe wa secretarieti.Ambapo katika ziara hiyo nzito atazungumzia na kugusa masuala mbalimbali pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kuwasikiliza wananchi kero zao kama ilivyo kawaida ya usikivu wa CCM kwa watanzania.ikumbukwe ya kuwa kwa utafiti imeonyesha huyu ndiye katibu mkuu bora Mwenye nguvu , Ushawishi,anayeheshimika ,kukubalika na kusikilizwa sana kwa vyama vyote vya ukombozi kusini Mwa jangwa la Sahara.
Ni Katibu Mkuu ambaye haogopi kusema ukweli na kumkemea mtu yeyote yule atakayekwenda kinyume na maadili,ni kiongozi ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwake cheo ni dhamana na utumishi kwa watu. tutarajie makubwa katika ziara hiyo na kuona utofauti wa katibu Mkuu wa chama Tawala na vile vyama vya kuokoteza vijihoja na usaka Tonge kama ilivyo kwa CHADEMA.View attachment 3053315
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CCM YOTE NI MAJIZI MAMA, BABA NA WATOTONdugu zangu Watanzania,

Wewe ndiye mwenye ujinga mwingi sana kichwani mwakoUnasifia ujinga ujinga tu
Nilishakuonya vikali kuwa uache ujinga wakoNi ziara ya kishetani kabisa
Unanitafuta wewe mjingaNilishakuonya vikali kuwa uache ujinga wako
Wewe una upumbavu mwingi sana kichwani mwako bwege weweWewe ndiye mwenye ujinga mwingi sana kichwani mwako
Jitahidi sana kuwahi hospitalWewe una upumbavu mwingi sana kichwani mwako bwege wewe
Huna akiliZingatia na kufuata ushauri wangu kabla hali yako haijawa mbaya.