CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Tabia zako zinaakisi huo upuuzi,hakuna mwanaume rijali aliyekamilika anakuwa na tabia kama hizi zako,just stop it unawakwaza hata familia yako.Bila shaka wewe ni wakala wa hayo masuala maana naona unapenda sana kuyazungumzia.
Anajenga chama, hajijengi yeye binafsi kama yule aliyeenda Afrika KusiniNdugu zangu Watanzania,
Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu alijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepoteza kabisa mitaani kutokama na kuishiwa ajenda na sera,wakati CHADEMA ikiwa imepoteza ushawishi nakupuuzwa na watanzania pamoja na hivyo kushindwa hata kufanya ziara mikoani.
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Jasusi Mbobezi wa kisiasa,Mwamba wa kusini,kiboko ya upinzani, Kiongozi Mwenye misimamo na mzalendo wa kweli asiye teteleka wala kuyumba ,aliyejenga nidhamu na heshima ndani ya CCM kwa kushirikiana na Mwenyekiti wetu Shujaa na Jemedari wetu hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Anatarajia kufanya ziara nzito sana mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi akiongozana na wajumbe wa secretarieti.Ambapo katika ziara hiyo nzito atazungumzia na kugusa masuala mbalimbali pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kuwasikiliza wananchi kero zao kama ilivyo kawaida ya usikivu wa CCM kwa watanzania.ikumbukwe ya kuwa kwa utafiti imeonyesha huyu ndiye katibu mkuu bora Mwenye nguvu , Ushawishi,anayeheshimika ,kukubalika na kusikilizwa sana kwa vyama vyote vya ukombozi kusini Mwa jangwa la Sahara.
Ni Katibu Mkuu ambaye haogopi kusema ukweli na kumkemea mtu yeyote yule atakayekwenda kinyume na maadili,ni kiongozi ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwake cheo ni dhamana na utumishi kwa watu. tutarajie makubwa katika ziara hiyo na kuona utofauti wa katibu Mkuu wa chama Tawala na vile vyama vya kuokoteza vijihoja na usaka Tonge kama ilivyo kwa CHADEMA.View attachment 3053315
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo popote kambi, sasa kahamia kwa NchimbiLukasi hujasema chochote kuhusu mkuu wa mkoa wa Arusha, tafadhali tamka kitu sheikh
Acha ujinga wako wewe .mimi siyo mropokaji na mbwatukaji kama weweHuyo popote kambi, sasa kahamia kwa Nchimbi
Kichwani mwako kuna shida kubwa sana ndugu yanguTabia zako zinaakisi huo upuuzi,hakuna mwanaume rijali aliyekamilika anakuwa na tabia kama hizi zako,just stop it unawakwaza hata familia yako.
Wewe naona hata kichwa chenyewe huna, headless chicken ndiyo ulivyo.Kichwani mwako kuna shida kubwa sana ndugu yangu
Acha dharau dogoWewe naona hata kichwa chenyewe huna, headless chicken ndiyo ulivyo.
Kashiriki kumlambisha, atasema nini?
Huko ccm mtu akiwa amenyooka kama rula ajiandaye kwa mambo matatu:-1. Zengwe 2. Fitina 3. Kurogwa (by balozi Polepole)
Nahisi kama ni mbinu ya kwenda kumsafisha Nape!! Ila imekaa vibaya ni sawa na mtu upande wa kulia aweke asali na upande wa kushoto aweke Sukari utachagua mwenyewe uchovye wapi. Nchimbi ni rafiki yake mkubwa na Nape sasa atachagua kumsafisha Nape au kuendelea kusifia yaliyofanywa na boss wake patamu hapo๐๐Ndugu zangu Watanzania,
Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu alijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepoteza kabisa mitaani kutokama na kuishiwa ajenda na sera,wakati CHADEMA ikiwa imepoteza ushawishi nakupuuzwa na watanzania pamoja na hivyo kushindwa hata kufanya ziara mikoani.
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Jasusi Mbobezi wa kisiasa,Mwamba wa kusini,kiboko ya upinzani, Kiongozi Mwenye misimamo na mzalendo wa kweli asiye teteleka wala kuyumba ,aliyejenga nidhamu na heshima ndani ya CCM kwa kushirikiana na Mwenyekiti wetu Shujaa na Jemedari wetu hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Anatarajia kufanya ziara nzito sana mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi akiongozana na wajumbe wa secretarieti.Ambapo katika ziara hiyo nzito atazungumzia na kugusa masuala mbalimbali pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kuwasikiliza wananchi kero zao kama ilivyo kawaida ya usikivu wa CCM kwa watanzania.ikumbukwe ya kuwa kwa utafiti imeonyesha huyu ndiye katibu mkuu bora Mwenye nguvu , Ushawishi,anayeheshimika ,kukubalika na kusikilizwa sana kwa vyama vyote vya ukombozi kusini Mwa jangwa la Sahara.
Ni Katibu Mkuu ambaye haogopi kusema ukweli na kumkemea mtu yeyote yule atakayekwenda kinyume na maadili,ni kiongozi ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwake cheo ni dhamana na utumishi kwa watu. tutarajie makubwa katika ziara hiyo na kuona utofauti wa katibu Mkuu wa chama Tawala na vile vyama vya kuokoteza vijihoja na usaka Tonge kama ilivyo kwa CHADEMA.View attachment 3053315
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nahisi kama ni mbinu ya kwenda kumsafisha Nape!! Ila imekaa vibaya ni sawa na mtu upande wa kulia aweke asali na upande wa kushoto aweke Sukari utachagua mwenyewe uchovye wapi. Nchimbi ni rafiki yake mkubwa na Nape sasa atachagua kumsafisha Nape au kuendelea kusifia yaliyofanywa na boss wake patamu hapo๐๐Ndugu zangu Watanzania,
Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu alijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepoteza kabisa mitaani kutokama na kuishiwa ajenda na sera,wakati CHADEMA ikiwa imepoteza ushawishi nakupuuzwa na watanzania pamoja na hivyo kushindwa hata kufanya ziara mikoani.
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Jasusi Mbobezi wa kisiasa,Mwamba wa kusini,kiboko ya upinzani, Kiongozi Mwenye misimamo na mzalendo wa kweli asiye teteleka wala kuyumba ,aliyejenga nidhamu na heshima ndani ya CCM kwa kushirikiana na Mwenyekiti wetu Shujaa na Jemedari wetu hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Anatarajia kufanya ziara nzito sana mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi akiongozana na wajumbe wa secretarieti.Ambapo katika ziara hiyo nzito atazungumzia na kugusa masuala mbalimbali pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kuwasikiliza wananchi kero zao kama ilivyo kawaida ya usikivu wa CCM kwa watanzania.ikumbukwe ya kuwa kwa utafiti imeonyesha huyu ndiye katibu mkuu bora Mwenye nguvu , Ushawishi,anayeheshimika ,kukubalika na kusikilizwa sana kwa vyama vyote vya ukombozi kusini Mwa jangwa la Sahara.
Ni Katibu Mkuu ambaye haogopi kusema ukweli na kumkemea mtu yeyote yule atakayekwenda kinyume na maadili,ni kiongozi ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwake cheo ni dhamana na utumishi kwa watu. tutarajie makubwa katika ziara hiyo na kuona utofauti wa katibu Mkuu wa chama Tawala na vile vyama vya kuokoteza vijihoja na usaka Tonge kama ilivyo kwa CHADEMA.View attachment 3053315
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe pimbi umemchulia Shoga yako Tumbili mpaka teuzi zinampita tu!!Ndugu zangu Watanzania,

Acheni maneno ya kichonganishi ndugu zanguni Watanzania mnaopenda umbeya umbeya.Nahisi kama ni mbinu ya kwenda kumsafisha Nape!! Ila imekaa vibaya ni sawa na mtu upande wa kulia aweke asali na upande wa kushoto aweke Sukari utachagua mwenyewe uchovye wapi. Nchimbi ni rafiki yake mkubwa na Nape sasa atachagua kumsafisha Nape au kuendelea kusifia yaliyofanywa na boss wake patamu hapo๐๐
Nahisi kama ni mbinu ya kwenda kumsafisha Nape!! Ila imekaa vibaya ni sawa na mtu upande wa kulia aweke asali na upande wa kushoto aweke Sukari utachagua mwenyewe uchovye wapi. Nchimbi ni rafiki yake mkubwa na Nape sasa atachagua kumsafisha Nape au kuendelea kusifia yaliyofanywa na boss wake patamu hapo๐๐
Unahangaika kama kuku anayetaka kutagaAcha dharau dogo
Wewe ndiye unahangaika.Unahangaika kama kuku anayetaka kutaga
Siyo uchonganishi, huo ndiyo ukweli. Kwanini useme nyekundu wakati inaonekana ni nyeupe๐๐๐๐Acheni maneno ya kichonganishi ndugu zanguni Watanzania mnaopenda umbeya umbeya.
Umeshawahi kuona naandika magazeti humu kusifia watu sifa za kijinga? Headless chicken.Wewe ndiye unahangaika.
Ndani ya CCM kwenyewe kuna wapinzani au haujui? Ndiyo maana kila akijenga ukuta unaenda upande anabomoa. Waliotajwa na Makonda kuwa wanaomtukana siyo wapinzani wake? Wako Chadema au ACT?Rais Samia hana mpinzani
Hana ajualo uchawa tu unamsumbua?Lukasi hujasema chochote kuhusu mkuu wa mkoa wa Arusha, tafadhali tamka kitu sheikh
Kama wanavyomfanyia LM wa Kisesa.Kashiriki kumlambisha, atasema nini?