Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Katika mambo ambayo CCM huwa makini nayo na kutofanya mzaha au majaribio au kukosea basi ni katika suala zima la kusuka safu nzima ya uongozi wake ndani ya chama.inafanya hivi kwa sababu inatambua kuwa CCM ndio moyo wa Nchi,ndio itoayo Dira na muelekeo wa Taifa letu.
Inajuwa kuwa CCM ikiwa dhaifu na legelege ni lazima serikali iyumbe na kukosa muelekeo pamoja na kulitikisa Taifa.ndio maana ukiangalia safu yake ya uongozi hushikwa na kuongozwa na watu makini,watulivu,hodari,majasiri, Wazalendo na wenye uzoefu wa kutosha kiuongozi.
Kwa hakika na kiukweli Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ni kiongozi makini,hodari , shupavu, madhubuti na imara kwelikweli. Ni kiongozi mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja,kutetea hoja, kufafanua na kuichambua hoja kwa utulivu ,umakini na uhodari wa hali ya juu sana. Hana mihemuko wala jazba wala ukurupukaji.ni msikivu sana katika kusikiliza hoja Kabla ya kufungua kinywa chake na kujibu au kutoa ufafanuzi au maelezo.
Hii ndio sababu ya kushuhudia CCM ikiendelea kuwa chama chenye nguvu,ushawishi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania pamoja na kuendelea kuaminika ,kuungwa mkono na kukubalika kwa watanzania.ndio sababu ya kushuhudia nidhamu ikitawala na kutamalaki ndani ya chama.
Maana ikumbukwe chama ambacho ndani yake hakuna nidhamu wala kuheshimu misingi ,kanuni ,taratibu ,sheria na katiba ya chama ni ngumu sana chama hicho kupata ushindi na kuimarika.hata jeshi ambalo askari wake hawana nidhamu ni ngumu sana kushinda vita ya aina yoyote ile.
Lakini tunashuhudia namna Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi namna ambavyo amekuwa mlezi wa jumuiya zote na kuzifanya kuendelea kuimarika na kuwa zenye nguvu.lakini pia tumeona namna ambavyo akikemea na kumkemea yeyote yule atakayeonekana kukichafua chama kwa kauli au maneno au matendo yake hadharani.
Kwa hakika Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi alikuwa chaguo na pendekezo sahihi kabisa la kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CCM .kwa sababu ni kiongozi mwenye misimamo,uadilifu,utulivu, unyenyekevu,usikivu,uzoefu wa kiuongozi ndani ya chama na serikalini pamoja na kuwa mtu mwenye hofu ya Mungu,.na kwa hakika anaendelea kukiheshimisha sana chama cha Mapinduzi kwa watanzania.
Ndio maana amekuwa akikemea sana hadharani Vitendo vyote vyenye kukiuka maadili na kwenda kinyume na misingi ya kidemokrasia. Kwa ufupi ni kuwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ni mtu Mwema,muungwana,mpenda haki ,mwenye moyo wa huruma ,mwana demokrasia wa kweli na mzalendo kwelikweli.Ni hazina kwa chama Na Taifa letu kwa ujumla wake.
Soma Pia: Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.