Balozi Dkt. Slaa: Hata mimi nimetishiwa, na hata Ubalozi wakitaka wauchukue

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.

Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.

Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.

Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
 
Halafu waandishi wakitoka hapo wanapewa posho?
Au na wao "wazalendo" kama Slaa ?
Wanaenda kuripoti Kwa "uchungu"?😅

Kashafanya mikutano na waandishi mingapi?kashatoa posho ngapi??
Pesa inatoka wapi??
 
Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.

Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.

Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.

Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Samia anaanza kukengeuka kama Magufuli na ataishia pabaya.
 
Back
Top Bottom