Balozi Dkt. Slaa: Hata mimi nimetishiwa, na hata Ubalozi wakitaka wauchukue

Balozi Dkt. Slaa: Hata mimi nimetishiwa, na hata Ubalozi wakitaka wauchukue

Huyu slaa aliwasaliti chadema
IlimlaImu afanye hivyo kulinda Heshima yake kisiasa. Maana yeye ndiye aliyekuwa kinara wa kumnanga Lowasa kuwa ni Fisadi. Kumpokea kwake kusingemjengea public trust katika siasa. Alikuwa sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom