Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Huu ni udesi!Dr Slaa ni zaidi ya Bunge zima😂😂!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni udesi!Dr Slaa ni zaidi ya Bunge zima😂😂!
Bunge letu limelala usingizi wa kifo..... Wanaogopa....Dr Slaa ni zaidi ya Bunge zima[emoji23][emoji23]!
Watachukuliwa hatua za kisheria wote.Ukosoaji ukijaa kebei na dharau na bezo hugeuza lengo na hoja kupelekea vioja.
Nimekuelewa. Lakini je anayekosea anatishiwa ama kuchukuliwa hatua za kisheria
Anavunga tu huyo, yupo kwenye system. Waulizeni waliofanya nae kazi chadema. Hawajawahi kumuelewa.Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.
Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.
Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Simama Dr Slaa. Wote tutakufa hivi Karibuni. Simama maslahi ya Tanzania.Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.
Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.
Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Huyo ndiyo kwisha, tatizo ana matumizi makubwa kuliko kipato chake.Anatia huruma huyu mzee aliyeshindwa aisee!! M/Mungu amsaidie aweze kusimama tena.......
Wameshapiga cha juu.Wamepewa nini
Siku hizi badala kushabikia hoja unashabikia personality !!.Huyo ndiyo kwisha, tatizo ana matumizi makubwa kuliko kipato chake.
sasa anacheza kama double agent, huku hayuko kule hayuko, ankula huu.
Nakuunga mkono mkuuHakuna cha wazanzibar.
Tatizo kuu ni CCM. Achane kupindisha mambo...
Tunam expose Slaa kwa wasiomfahamu alivyo.Siku hizi badala kushabikia hoja unashabikia personality !!.
UmekuwaJe mzee mwenzangu ?!.
Wanaopinga hoja za bandari wanatoa na vifungu wanavyoona vinadhalilisha uhuru taifa. Nyinyi mmekazania personality na hicho mnachodhani ni faida.
Hoja hupingwa kwa hoja. Si vinginevyo
Slaa ni msaliti toka alipozaliwa. Aliwasaliti wazee wake, akasaliti upadre, akamsaliti mke wake wa kwanza na watoto, akamsaliti josephine mshumbushi, kaisaliti chadema. Na sasa anaisaliti CCM, iliyompa ubalozi.Huyu slaa aliwasaliti chadema
Hajaacha kutafuta kiki aisee, chademo muungeni kwenye umoja wenu si ajabu baadhi ya watu wakaanza kujiteka, kujificha na kujifanya hawaonekani, HAKIKA CHADEMA MLITIA FORA WAKATI FULANI.Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.
Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.
Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Mimi nikiri kukuelewa vizuri hoja zako juu ya IGA, DPW na Dar Port.Tunam expose Slaa kwa wasiomfahamu alivyo.
Hakuna kifungu wala nini, wote ni hate mongers.
Hujielewi, na huelewi chochote. Kasome katiba. Ndani ya katiba hakuna neno Tanganyika?Wewe umezaliwa Tanzania; hiyo Tanganyika unahadithiwa tu na baba yako[emoji1787]
Wenye Nchi.....! Kama wewe ni mhamiaji kaa kimya au kama wewe ni poyoyo vilevile kaa kimya.Nyie wakina nani?