SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mimi naona tatizo ni huu muungano wa mchongo,naona tuuvunje tu hakuna jinsi nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi watanganyikaNyie wakina nani?
MtanganyikaNyie wakina nani?
Mzee wetu, mzalendo. Anasimama na ukweli, maslahi ya Taifa.Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.
Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.
Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Inaonekana anajali zaidi maslahi ya waarabu kuliko Watanganyika.Samia alihongwa nini na waarabu mpaka anashindwa kuuvunja ule mkataba?
Kuendelea kukaa kimya anajionesha yeye ni kiongozi wa Tanganyika au waarabu?
Kama hatusikilizi watanganyika anaotuongoza, basi atakuwa anawasikiliza waarabu aliowapa zawadi ya bandari zetu zote milele..
Kwa hali hiyo, nikisema tuna kiongozi msaliti nitakuwa nimekosea wapi? na kwanini wanitishe nisiseme Samia ni msaliti ikiwa tabia zote za kisaliti anazo?
Wasipoteze muda kututisha, ukweli wauache usemwe, lazima utasemwa.
Kwamba tunajibizana humu haimaanishi tupo lika moja.Wewe umezaliwa Tanzania; hiyo Tanganyika unahadithiwa tu na baba yako🤣
Sasa unataka nikusaidiaje, kwa mfano?Kwamba tunajibizana humu haimaanishi tupo lika moja.
Huyu slaa aliwasaliti chadema
System iliishia kumwozesha bint mdogo ,au unamanisha nnDr. Slaa anajidai kuwaponda UWT. Tanzania hii utapewa ubalozi kama haupo kwenye system?
Huyu ana maslahi binafsi, na ni mtu ambae hawezi kufikiri kwa kina. Amesahau kilichomkumba mrema alivyojisahau na kujaribu kuigeuka sysstem iliyomweka madarakani. wakati yeye anajulikana alikuwa pandikizi pale Chadema.
sikuelewi, Slaa kawa bint mdogo? wacha hizo bana.System iliishia kumwozesha bint mdogo ,au unamanisha nn
usibadili jambosikuelewi, Slaa kawa bint mdogo? wacha hizo bana.
Sikuhitaji msaada. Watanganyika tupo makabila mengi tanaochanganya r na l.Sasa unataka nikusaidiaje, kwa mfano?
lika=rika