Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wewe umezaliwa Tanzania; hiyo Tanganyika unahadithiwa tu na baba yako🤣Sisi watanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umezaliwa Tanzania; hiyo Tanganyika unahadithiwa tu na baba yako🤣Sisi watanganyika.
Mkuu FaizaFoxy hebu endelea kutueliimisha hapa. Huyu mzee Dr. Slaa anassema kuwa anatishiwa kwa sababu ya kujadili Mkataba unaoihusu DP World. Kwa nini basi vitisho vitumike katika jambo lenye heri kwa nchi? Je maendeleo hususani mashirikiano baina ya nchi na nchi yana nguvu kuliko established governing Laws za nchi?Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.
Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.
Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Ubalozi alipewa na Magufuli sasa nani atamnyanganyaDkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.
Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.
Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Wakati mwingine unakuja na vioja badala ya hoja... intrestingHalafu waandishi wakitoka hapo wanapewa posho?
Au na wao "wazalendo" kama Slaa ?
Wanaenda kuripoti Kwa "uchungu"?😅
Kashafanya mikutano na waandishi mingapi?kashatoa posho ngapi??
Pesa inatoka wapi??
Nawe ulipewa posho kwenye hiyo mikutano ya Dr. Slaa na waandishi wa habari!!??Halafu waandishi wakitoka hapo wanapewa posho?
Au na wao "wazalendo" kama Slaa ?
Wanaenda kuripoti Kwa "uchungu"?[emoji28]
Kashafanya mikutano na waandishi mingapi?kashatoa posho ngapi??
Pesa inatoka wapi??
Alistaafu kwa katiba ipi ?Wauchukue vp wakati kashastaafu.
Ingawa hoja zake zina mashiko
Balozi yupo makini. Asidharauliwe.Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.
Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.
Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
waislam lazima wakwangue tumbo ndo ubakie uchiUlizaliwa uchi, utarudi kaburini uchi.
Wachukue Kila kitu,
Wamwachie Yesu wake tu.
Amen
Mzee wa meremeta ,Richmond serikali ya lowasa ilimkomaDr Slaa ni zaidi ya Bunge zima[emoji23][emoji23]!
Kwahiyo aache na Bandari ziuzwe ?Huyu slaa aliwasaliti chadema
Mkuu FaizaFoxy hebu endelea kutueliimisha hapa. Huyu mzee Dr. Slaa anassema kuwa anatishiwa kwa sababu ya kujadili Mkataba unaoihusu DP World. Kwa nini basi vitisho vitumike katika jambo lenye heri kwa nchi? Je maendeleo hususani mashirikiano baina ya nchi na nchi yana nguvu kuliko established governing Laws za nchi?
Kuna picha gani kubwa isiyoonekana kwenye huu Mkataba?
Bandari zinauzwa kivipi?!!Kwahiyo aache na Bandari ziuzwe ?
Dr. Slaa anajidai kuwaponda UWT. Tanzania hii utapewa ubalozi kama haupo kwenye system?Anaweweseka huyu ndugu yetu Dr.Slaa.....
#MamaAnaupigaMwingi[emoji7]
Ukosoaji ukijaa kebei na dharau na bezo hugeuza lengo na hoja kupelekea vioja."Akizungumzia matumizi mabaya ya fursa ya kujieleza iliyopo nchini kwa sasa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni alisema: "Tutaendelea kupokea ushauri, maoni na mawazo, lakini bahati mbaya sana kuna baadhi ya Watanzania wenzetu wamekuwa wakitaka kutumia uhuru huo vibaya, kiasi cha kutoa kauli zinazolenga kuhatarisha usalama wa nchi yetu, kuvunia sheria za nchi na kupasua Taifa.
"Kauli hizi haziwezi kukubalika, haiwezekani tutumie kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni kavunja sheria za nchi, sheria hizi zitaendelea kubaki kuwa sheria, na tuna wajibu wa kuhakikisha tunasimamia sheria zilizotungwa kwa maslahi ya watu wa nchi hii."
Chanzo: Hujuma nzito bandarini
Absolutely !!!Huu muungano kama vipi uvunjike. Haiwezekani Wazanzibari tuliowakomboa kutoka kwa yule Sultan wao wa Oman mwaka 1964, leo hii wajione kuwa na haki ya kututisha Watanganyika na pia kutuamulia mustakabari wa maisha yetu.
Ubalizo gani alionao na kesha pigwa na chini zamani tu.ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu ubalozi.