Balozi Dkt. Slaa: Hata mimi nimetishiwa, na hata Ubalozi wakitaka wauchukue

Balozi Dkt. Slaa: Hata mimi nimetishiwa, na hata Ubalozi wakitaka wauchukue

Samia alihongwa nini na waarabu mpaka anashindwa kuuvunja ule mkataba?

Kuendelea kukaa kimya anajionesha yeye ni kiongozi wa Tanganyika au waarabu?

Kama hatusikilizi watanganyika anaotuongoza, basi atakuwa anawasikiliza waarabu aliowapa zawadi ya bandari zetu zote milele..

Kwa hali hiyo, nikisema tuna kiongozi msaliti nitakuwa nimekosea wapi? na kwanini wanitishe nisiseme Samia ni msaliti ikiwa tabia zote za kisaliti anazo?

Wasipoteze muda kututisha, ukweli wauache usemwe, lazima utasemwa.
 
Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.

Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.

Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.

Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Anatafuta kiki ,afinywe afinywe
 
Halafu waandishi wakitoka hapo wanapewa posho?
Au na wao "wazalendo" kama Slaa ?
Wanaenda kuripoti Kwa "uchungu"?[emoji28]

Kashafanya mikutano na waandishi mingapi?kashatoa posho ngapi??
Pesa inatoka wapi??
Sasa umebaki kucheka cheka tu kama mdoli, maswali yote yamewashinda kuyajibu.
 
Duniani Kuna mambo,

Wanaowatishia wengine KIFO, hata wao hawana hakika wa kesho Yao!!!
 
Huu muungano kama vipi uvunjike. Haiwezekani Wazanzibari tuliowakomboa kutoka kwa yule Sultan wao wa Oman mwaka 1964, leo hii wajione kuwa na haki ya kututisha Watanganyika na pia kutuamulia mustakabari wa maisha yetu.
Hakuna cha wazanzibar.

Tatizo kuu ni CCM. Achane kupindisha mambo.

Haiwezekani Taifa lenye watu zaidi ya millioni 60 tukae tunalialia eti Zanzibar (yenye watu wasiofika hata millioni 2.) Wanauza mali zetu.

Pale kwenye baraza la mawaziri kuna watanganyika kibao. Mbona hawakupinga.

Bungeni- watanganyika wapo kama wote mbona nao hawajapinga.

Tupambane kuibana CCM na sio Zanzibar.
 
Sultan ni mjomba wa mjambiani mpumbaavu ...ndiyo maana hata mtoto wa karume wanachuki naye pamoja na nyerere
 
Daktari msaliti hana hoja Dada letu la Kihaya lilishamtoa maana amegeuka kichekesho tuu.

Watu wanaikimbia bandari yetu kwa urasimu lakini pia kwa kukosa ufanisi sisi tupo tunabishania ujinga badala ya kuunga mkono hatua ya Mama.
 
Hakuna cha wazanzibar.

Tatizo kuu ni CCM. Achane kupindisha mambo.

Haiwezekani Taifa lenye watu zaidi ya millioni 60 tukae tunalialia eti Zanzibar (yenye watu wasiofika hata millioni 2.) Wanauza mali zetu.

Pale kwenye baraza la mawaziri kuna watanganyika kibao. Mbona hawakupinga.

Bungeni- watanganyika wapo kama wote mbona nao hawajapinga.

Tupambane kuibana CCM na sio Zanzibar.
Wao wamewashika wazanzibari tu wanasema ndo wahusika wa Mkataba SSH
Mbarawa
Katibu mkuu wa uchukuzi eti watanganyika hawahusiki
 
Huu muungano kama vipi uvunjike. Haiwezekani Wazanzibari tuliowakomboa kutoka kwa yule Sultan wao wa Oman mwaka 1964, leo hii wajione kuwa na haki ya kututisha Watanganyika na pia kutuamulia mustakabari wa maisha yetu.
Ukivunjika bandari ya daresalama itaathirika sana sana. Muungano una faida kubwa kwa Zanzibar na Tanganyika

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom