Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Nyie wakina nani?Hatutaki masharti ya mkataba ......hilo hatutaki.....tena kabisa
Wajomba washakula kishika uchumbaWamepewa nini
Sisi watanganyika.Nyie wakina nani?
Wanasema wao mmewateka maana wao wana wajomba zao Oman na wao hawajichukulii km nyinyi mnavyowachukuliaHaiwezekani Wazanzibari tuliowakomboa kitoka kwa yule Sultan wao wa Oman mwak 1964,
Yesu ?Wamwachie Yesu wake tu.
weeee sema kweli......Wajomba washakula kishika uchumba
✍️
Samia anaanza kukengeuka kama Magufuli na ataishia pabaya.Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari.
Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi.
Slaa ameyazungumza hayo akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mkataba wa bandari.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Dr Slaa ni zaidi ya Bunge zima[emoji23][emoji23]!
Yesu ndiye njia, Kweli na Uzima.Yesu ?
✍️
Wananchi wazalendo....Belinda rasilimaliNyie wakina nani?