Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Jul 13, 2023 #101 adili2 said: Sikuhitaji msaada. Watanganyika tupo makabila mengi tanaochanganya r na l. Click to expand... Upuuzi mtupu. Hakuna ukabila wala "utanganyika" kwenye Kiswahili.
adili2 said: Sikuhitaji msaada. Watanganyika tupo makabila mengi tanaochanganya r na l. Click to expand... Upuuzi mtupu. Hakuna ukabila wala "utanganyika" kwenye Kiswahili.
Mwanamena JF-Expert Member Joined Feb 4, 2020 Posts 1,107 Reaction score 1,360 Jul 13, 2023 #102 kipenseli2021 said: Huyu slaa aliwasaliti chadema Click to expand... IlimlaImu afanye hivyo kulinda Heshima yake kisiasa. Maana yeye ndiye aliyekuwa kinara wa kumnanga Lowasa kuwa ni Fisadi. Kumpokea kwake kusingemjengea public trust katika siasa. Alikuwa sahihi kabisa.
kipenseli2021 said: Huyu slaa aliwasaliti chadema Click to expand... IlimlaImu afanye hivyo kulinda Heshima yake kisiasa. Maana yeye ndiye aliyekuwa kinara wa kumnanga Lowasa kuwa ni Fisadi. Kumpokea kwake kusingemjengea public trust katika siasa. Alikuwa sahihi kabisa.