Tetesi: Balozi Dkt. Wilbroad Slaa afichua siri mpya ya mikakati ya Mbowe kushinda uenyekiti. Apewa mapesa zaidi na Rais Samia na M/kiti CCM kummaliza Lissu

Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
 
Tuhuma nzito sana hizi, si vyema kuzusha jambo kama hili hasa kwa kiongozi wanchi. Kuna mambo ambayo hupaswi kuvuka mipaka kwa faida ya mgombea wako.
Ulipaswa kuweka sera zako na si kumhusisha Rais wa nchi na mambo yako.
 
Huyu Mzèe ana matatizo ya kisaikolojia, inabidi serikali imsaidie kumrudishia mkewe waliyempora huko Canada.
 
Tuhuma nzito sana hizi, si vyema kuzusha jambo kama hili hasa kwa kiongozi wanchi. Kuna mambo ambayo hupaswi kuvuka mipaka kwa faida ya mgombea wako.
Ulipaswa kuweka sera zako na si kumhusisha Rais wa nchi na mambo yako.
Hii mizee ndiyo inazidi kumharibia Lissu idadi ya kura za wajumbe.
 
Unakuta wahuni washasaini matokeo ya uchanguzi mkuu

"tutakupeni majimbo kadhaa na lile la yule wa WCB, umesikia, ila msilete ushindani kwa raisi nyie gombanieni ubunge"
 
Ukipelekwa mahakamani unaweza kuthibitisha Mbowe kupewa RUSHWA na Samia?
 
Itv bana, kwa hiyo wakaona wakitumia cheo cha zamani kabisa cha dk slaa ndio italeta maana.

Hivi hawa waandishi wanaweledi kweli?
 

Attachments

  • image.jpg
    514.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…