Akiwa Rais tofauti kiitikadi
Hivi huyu Padri kwan alieudi lini CDM!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Padri kwan alieudi lini CDM!?
Sasa hivi Fitna namba moja Tanzania ni Slaa.safi sana,
mbona yeye lisu anatumia diaspora kuhonga wajumbe,
Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa vyovyote vile.
Lisu hana adabu kwa wakubwa zake, amemtukana Magufufli, kamtukana Rais samia bila hata aibu pamoja na kuwa mama alimsaidia sana hadi kwenda nairobi na ubeljiji kumjulia hali hata kumrudishia passport yake, isitoshe mbowe alombeba nae katukanwa.
Nchi gani yenye serikali inaweza kumpa mwendawazimu mamlaka
Wanampoteza kabisa kwenye medali za kisiasa akamtukane kaka yake anayemuunga mkono
Ameshikilia liferaft,survival tactics.Hivi huyu Padri kwan alieudi lini CDM!?
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...

Hatuna uhakika kama kapewa. Ila ikiwa ni kweli ametoa hiyo 12B kwa mtu mmoja, je Zanzibar kapeleka bilioni ngapi ?🤣 ila 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣🤣 bitozo yupo serious mno kuutaka urais 🤣
Nyumbu wa Sultan Mbowe tulieni dawa iwaingie fresh,boss wenu anataka kuifanya Chadema kitengo cha CCM cha kupooza mageuzi ya kweli. Mwamba kavuta 12b na anataka aongezewe mzigo sijui kama anawagawia au anabunya mwenyewe tu.
Wajumbe ni wa hovyo.....Mchana wanamkubali Mbowe mwenye mabilioni ila kura kwa LissuSisi wajumbe tunasema kula CCM kura kwa jembe letu Lissu.
Si unaona Zanzibar ilivyopiga hatua kubwa ya maendeleo katika miaka mitatu hii shule za msingi za gorofa hadi vijijini halafu mambwiga ya CCM yanataka kumpa mitano tena. Kodi za Watanganyika ndiyo zinaijenga Zanzibar.Hatuna uhakika kama kapewa. Ila ikiwa ni kweli ametoa hiyo 12B kwa mtu mmoja, je Zanzibar kapeleka bilioni ngapi ?
Huyo jamaa yupo kinafiki sana
Kilindi yeye anachota za Edo na za Mwendazake nani alimuuliza?
Kuna kipindi JK alimuita mnafiki na mzandiki nimeamini.
Vijana wa Usalama anaowasema ni kina nani?
Anapukiwa majungu ya hear say za kutosha na yeye mkuku mkuku anazileta public kwa wapiga makofi wake wa Clubhouse...
Anatamani sana Lissu awe chairman na yeye arud CDM kwa mgongo wa nyuma kama KM.
It will bever happen granny.
Wajumbe ni wa hovyo.....Mchana wanamkubali Mbowe mwenye mabilioni ila kura kwa Lissu
Huyo jamaa yupo kinafiki sana
Kilindi yeye anachota za Edo na za Mwendazake nani alimuuliza?
Kuna kipindi JK alimuita mnafiki na mzandiki nimeamini.
Vijana wa Usalama anaowasema ni kina nani?
Anapukiwa majungu ya hear say za kutosha na yeye mkuku mkuku anazileta public kwa wapiga makofi wake wa Clubhouse...
Anatamani sana Lissu awe chairman na yeye arud CDM kwa mgongo wa nyuma kama KM.
It will bever happen granny.
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...
Dr slaa wa ccm? Jamaa huyu fitna sana kwa taifa. Ndio alietia mkataba kati ya kanisa na serekali