SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hapo lazima Mnyika naye awe amemegewa fuba la kufa mtuKukabiliana na huu uhuni wa CCM, Orosha ya wapiga kura na washiriki wa mkutano na mabaraza inaweza kuwa established mapema. Katibu mkuu anao waji u wa kiweka wazi orodha hiyo kwa viongozi wa kanda zote na kutoa mwongozo wa shughuli yote.
Timu Lissu ijipange tu vizuri na iwe tayari kwa lolote ikiwemo kukabiliana na virungu vya polisi.
Nawe uko useless! Kwa hiyo kama anayeleta taarifa aliwahi kuwa hovyo, hana haki ya kusema mengine ya hovyo anayoyaona? Kwani kibaka hana haki ya kutaja waharifu? Ongeza ufahamu.Huyo jamaa yupo kinafiki sana
Kilindi yeye anachota za Edo na za Mwendazake nani alimuuliza?
Kuna kipindi JK alimuita mnafiki na mzandiki nimeamini.
Vijana wa Usalama anaowasema ni kina nani?
Anapukiwa majungu ya hear say za kutosha na yeye mkuku mkuku anazileta public kwa wapiga makofi wake wa Clubhouse...
Anatamani sana Lissu awe chairman na yeye arud CDM kwa mgongo wa nyuma kama KM.
It will bever happen granny.
Halafu tujadili hoja yake maana kama mtanzania na CHADEMA kina maslahi ya watanzania huna haki ya kumnyang'anya haki yake ya kujadili siasa za Tanzania.Slaa siyo balozi
Siyo padre
Siyo chadema
Siyo ccm
Mtu Hatari sana kwenye unafiq na ni mtu anayependa sana kulitaja neno TISS
old dog same old tricks…. Alipohamia ccm baada ya kukubali Lowassa agombee was enough to tell who he really is
Pre GE2025 - Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti. “Kuna kundi...www.jamiiforums.com
safi sana,
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...
hujasikia jana katibu anasema watu wanaopiga kura ni wale watakaopita kwenye uchaguzi means wanaeza au kuna sababu kubwa asijulikanetimu ya lisu iandae mikakati ya kuhakiki wajumbe wapigakura kabla ya zoezi la uchaguzi
Ila akichafuliwa na Yericho Nyerere sawaUkimsikiliza kwa makini anasema Rushwa haina ushahidi ila yeye ni kuchafua watu na kila mtu kwa hoja kwamba amehongwa bila ushahidi wala mazingira yenye mashaka sana...
Chafua kila mtu kwa kutumiwa msg... Dah .. Birds of a feather
TL anaweza vip kuendesha chama kwa kuchafua kila mtu?
Hizi siasa chafu CDM hawa ndio waanzilishi wake, Rushwa na Ufisadi wa uwongo uwongo.... Tabia chafu sana mwanaume kumchafua mwanaume mwenzako kutaka madaraka....
Mnafiki na Mzandiki... Babu mzima hovyo
Utakuwa mchaga tena mmachamesafi sana,
mbona yeye lisu anatumia diaspora kuhonga wajumbe,
Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa vyovyote vile.
Lisu hana adabu kwa wakubwa zake, amemtukana Magufufli, kamtukana Rais samia bila hata aibu pamoja na kuwa mama alimsaidia sana hadi kwenda nairobi na ubeljiji kumjulia hali hata kumrudishia passport yake, isitoshe mbowe alombeba nae katukanwa.
Nchi gani yenye serikali inaweza kumpa mwendawazimu mamlaka
Wanampoteza kabisa kwenye medali za kisiasa akamtukane kaka yake anayemuunga mkono
Mnamkubalia aliyenunuliwa? Yeye mbona aliuacha Uchadema na kujiunga CCM na kupewa Ubalozi? Anadhani kila mtu anaweza kuuza utu wake kama yeye?timu ya lisu iandae mikakati ya kuhakiki wajumbe wapigakura kabla ya zoezi la uchaguzi
hata kama ningekuwa msukuma nampinga lisu kwa ushenzi wake kutukana viongozi, hata nyerere alimtukana.Utakuwa mchaga tena mmachame
Isipokuwa Mimi. Pesa za hivyo sipokei aslani abadani maana najua consequences zake!🤣 mwanzoni nilikuwa sielewi naona mapichapicha. Baada ya tetesi toka Twitter kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B nikaelewa picha nzima 🤣🤣. Na bado mwamba anataka mabilioni mengine ya kubustia 🤣🤣🤣🤣🤣
Tuambiane ukweli, Ni vigumu kwa mtu yoyote kukataa 12B+
Mhh muwekee mabulungutu uone kama hatopita nazo!Maana ya ke katubu na hataki wahongwaji wengine
Kipi kinachomzuia kurudi CHADEMA kwa jinsi yeyote? Ni makosa kuwa pro Lissu? Je angekuwa pro Mbowe ungesema haya?Slaa awe makini asije kupewa kesi ya uchochezi ...
Slaa karudi Chadema kinyemela mpaka kuibuka kama Pro-Lissu kwenye hiki kinyanganyiro ?..........huu uchaguzi ni mtihani mzito kwa uhai wa Chadema
zitto junior Fundi Mchundo Retired JokaKuu
Sasa hapo ndio ujue hizi kelele zote na kusagiana kunguni ni tumbo wajinga ni wapenzi na wanachama wa hizo taka taka!Hata wewe ungeletewa Lowasa wakati umekipigania Chama wacha Dr.Slaa aratibu anguko la Sultani.
Siyo msukuma ni mmachame mlikuwa mnaifanya CHADEMA SACCOS yenu, tuonyeshe hayo matusi.hata kama ningekuwa msukuma nampinga lisu kwa ushenzi wake kutukana viongozi, hata nyerere alimtukana.
kichaa wenu ataokota makopo baada ya tarehe 21/01/2025
AssumptionMhh muwekee mabulungutu uone kama hatopita nazo!
Nyumbu wa Sultan Mbowe wana hasira na kila anayemuunga mkono Lissu.Halafu tujadili hoja yake maana kama mtanzania na CHADEMA kina maslahi ya watanzania huna haki ya kumnyang'anya haki yake ya kujadili siasa za Tanzania.
Kwa hiyo hivyo vigezo vyako vinampoka haki yake? Akuamua kurudi CHADEMA una haki ya kumzuia?
Great mind discusses ideas
Simple mind discuss events and foolish mind discusses people.
Wamachame safari hii mumeyatimbaUtakuwa mchaga tena mmachame