Tetesi: Balozi Dkt. Wilbroad Slaa afichua siri mpya ya mikakati ya Mbowe kushinda uenyekiti. Apewa mapesa zaidi na Rais Samia na M/kiti CCM kummaliza Lissu

Tetesi: Balozi Dkt. Wilbroad Slaa afichua siri mpya ya mikakati ya Mbowe kushinda uenyekiti. Apewa mapesa zaidi na Rais Samia na M/kiti CCM kummaliza Lissu

Kukabiliana na huu uhuni wa CCM, Orosha ya wapiga kura na washiriki wa mkutano na mabaraza inaweza kuwa established mapema. Katibu mkuu anao waji u wa kiweka wazi orodha hiyo kwa viongozi wa kanda zote na kutoa mwongozo wa shughuli yote.
Timu Lissu ijipange tu vizuri na iwe tayari kwa lolote ikiwemo kukabiliana na virungu vya polisi.
Hapo lazima Mnyika naye awe amemegewa fuba la kufa mtu
 
Huyo jamaa yupo kinafiki sana

Kilindi yeye anachota za Edo na za Mwendazake nani alimuuliza?

Kuna kipindi JK alimuita mnafiki na mzandiki nimeamini.

Vijana wa Usalama anaowasema ni kina nani?

Anapukiwa majungu ya hear say za kutosha na yeye mkuku mkuku anazileta public kwa wapiga makofi wake wa Clubhouse...

Anatamani sana Lissu awe chairman na yeye arud CDM kwa mgongo wa nyuma kama KM.

It will bever happen granny.
Nawe uko useless! Kwa hiyo kama anayeleta taarifa aliwahi kuwa hovyo, hana haki ya kusema mengine ya hovyo anayoyaona? Kwani kibaka hana haki ya kutaja waharifu? Ongeza ufahamu.
 
Slaa siyo balozi
Siyo padre
Siyo chadema
Siyo ccm

Mtu Hatari sana kwenye unafiq na ni mtu anayependa sana kulitaja neno TISS

old dog same old tricks…. Alipohamia ccm baada ya kukubali Lowassa agombee was enough to tell who he really is

Halafu tujadili hoja yake maana kama mtanzania na CHADEMA kina maslahi ya watanzania huna haki ya kumnyang'anya haki yake ya kujadili siasa za Tanzania.

Kwa hiyo hivyo vigezo vyako vinampoka haki yake? Akuamua kurudi CHADEMA una haki ya kumzuia?
Great mind discusses ideas
Simple mind discuss events and foolish mind discusses people.
 

View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F

Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!

Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...

Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...

Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...

Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...

Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...

safi sana,
mbona yeye lisu anatumia diaspora kuhonga wajumbe,
Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa vyovyote vile.
Lisu hana adabu kwa wakubwa zake, amemtukana Magufufli, kamtukana Rais samia bila hata aibu pamoja na kuwa mama alimsaidia sana hadi kwenda nairobi na ubeljiji kumjulia hali hata kumrudishia passport yake, isitoshe mbowe alombeba nae katukanwa.

Nchi gani yenye serikali inaweza kumpa mwendawazimu mamlaka

Wanampoteza kabisa kwenye medali za kisiasa akamtukane kaka yake anayemuunga mkono
 
timu ya lisu iandae mikakati ya kuhakiki wajumbe wapigakura kabla ya zoezi la uchaguzi
hujasikia jana katibu anasema watu wanaopiga kura ni wale watakaopita kwenye uchaguzi means wanaeza au kuna sababu kubwa asijulikane
 
Ukimsikiliza kwa makini anasema Rushwa haina ushahidi ila yeye ni kuchafua watu na kila mtu kwa hoja kwamba amehongwa bila ushahidi wala mazingira yenye mashaka sana...

Chafua kila mtu kwa kutumiwa msg... Dah .. Birds of a feather

TL anaweza vip kuendesha chama kwa kuchafua kila mtu?

Hizi siasa chafu CDM hawa ndio waanzilishi wake, Rushwa na Ufisadi wa uwongo uwongo.... Tabia chafu sana mwanaume kumchafua mwanaume mwenzako kutaka madaraka....

Mnafiki na Mzandiki... Babu mzima hovyo
Ila akichafuliwa na Yericho Nyerere sawa
Akichafuliwa na Paulo Ntobi saws
Akichafuliwa na Ezekiel Wenje sawa
Akichafuliwa na Retired sawa
Paskali Mayalla sawa, ila akisema chama kilikuwa hakina hela zimetika wapi ghafla, kachafua.
Kusema mwenyekiti nu muongo anaposema uongo kachafua, hebu tupe orodha ya viongozi waliochafuliwa na Lissu na jinsi alivyowachafua
 
safi sana,
mbona yeye lisu anatumia diaspora kuhonga wajumbe,
Lisu hawezi kumshinda mbowe kwa vyovyote vile.
Lisu hana adabu kwa wakubwa zake, amemtukana Magufufli, kamtukana Rais samia bila hata aibu pamoja na kuwa mama alimsaidia sana hadi kwenda nairobi na ubeljiji kumjulia hali hata kumrudishia passport yake, isitoshe mbowe alombeba nae katukanwa.

Nchi gani yenye serikali inaweza kumpa mwendawazimu mamlaka

Wanampoteza kabisa kwenye medali za kisiasa akamtukane kaka yake anayemuunga mkono
Utakuwa mchaga tena mmachame
 
timu ya lisu iandae mikakati ya kuhakiki wajumbe wapigakura kabla ya zoezi la uchaguzi
Mnamkubalia aliyenunuliwa? Yeye mbona aliuacha Uchadema na kujiunga CCM na kupewa Ubalozi? Anadhani kila mtu anaweza kuuza utu wake kama yeye?

Mbowe hapo nyuma amekaa Mahabusu miezi 8 kwa kudaiwa kuwa Gaidi wa Nchi hii, mnadhani amesahau? Mpaka akae meza moja na Mh Rais? Nadhani Slaa anatafuta huruma ya kukubalika, binafsi sina muda wa kumsikiliza kwakua ndiye msaliti namba moja aloyeitosa Chadema na kupewa mkate CCM wa Ubalozi Canada..
 
Huyu natamani wanafunzi aliosoma nao shule ya msingi na sekondari watuambie alikuwa mtoto wa aina gani huyu
Kuna watu wanajua kutuchanganya hajulikani yuko upande gani yaani kama Popo
 
🤣 mwanzoni nilikuwa sielewi naona mapichapicha. Baada ya tetesi toka Twitter kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B nikaelewa picha nzima 🤣🤣. Na bado mwamba anataka mabilioni mengine ya kubustia 🤣🤣🤣🤣🤣


Tuambiane ukweli, Ni vigumu kwa mtu yoyote kukataa 12B+
Isipokuwa Mimi. Pesa za hivyo sipokei aslani abadani maana najua consequences zake!
 
Slaa awe makini asije kupewa kesi ya uchochezi ...

Slaa karudi Chadema kinyemela mpaka kuibuka kama Pro-Lissu kwenye hiki kinyanganyiro ?..........huu uchaguzi ni mtihani mzito kwa uhai wa Chadema

zitto junior Fundi Mchundo Retired JokaKuu
Kipi kinachomzuia kurudi CHADEMA kwa jinsi yeyote? Ni makosa kuwa pro Lissu? Je angekuwa pro Mbowe ungesema haya?
 
Hata wewe ungeletewa Lowasa wakati umekipigania Chama wacha Dr.Slaa aratibu anguko la Sultani.
Sasa hapo ndio ujue hizi kelele zote na kusagiana kunguni ni tumbo wajinga ni wapenzi na wanachama wa hizo taka taka!
 
WAJUMBE WA BARAZA/MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI CHADEMA 2025:

Kama kweli mmeamua kuwa mnakwenda na Tundu Lissu kama Mwenyekiti wenu wa CHADEMA Taifa, basi zifuatazo ni MBINU ZA MEDANI ZA KIVITA KUMSHINDA FREEMAN MBOWE NA CCM KATIKA UCHAGUZI HUU

➡ Kwanza kabisa, kila mmoja wenu afahamu kuwa, ni KWELI na HAKIKA pasipo shaka yoyote kuwa Rais Samia anamtaka Freeman Mbowe ndiye aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa faida yake na CCM kwa ujumla...

➡ Na kwa sababu hii, fahamu kuwa Freeman Mbowe akifanikiwa kupita kwa njia yoyote ile, hatakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa manufaa ya CHADEMA bali sasa mtambue kuwa mnaongozwa na kibaraka wa CCM...

➡ Kuhakikisha hili linafanikiwa, zana kubwa ya kufanikisha hili ni fedha. Kwa hiyo, mapesa ya ushawishi (rushwa) yanakuja kwenu...

➡ Fanyeni yafuatayo;

1. MSIOGOPE KUCHUKUA HIZO PESA ZIKIJA. NASISITIZA TENA MSIACHE KUZICHUKUA!!..
Chukueni kwa kiwango chochote kile wanachotoa na tumie fedha hizo. Ni fedha zenu wala sio za Samia. Halafu kura mpeni mtu muungwana, safi, mwadilifu, mkweli, aggressive na asiye na makandokando yaani Tundu Antiphasy Mughway Lissu. Huyu ndiye Mwenyekiti wenu mpya akisaidiana na John Wegeso Heche...

2. Moja ya mbinu anayotumia Freeman Mbowe akisaidiwa na CCM (maagizo ya Samia) ni kuingizwa kiujanja ujanja wapiga kura mamluki wa UVCCM na TISS (usalama wa taifa). Watavaa magwanda na jezi za utambulisho wa CHADEMA. Kuweni makini, tambuaneni hasa itakapofika wakati wa upigaji kura...

3. Tunaambiwa pia mko jumla ya wajumbe wapiga kura 1,200 pamoja na secretariate wa CHADEMA kutoka wilayani, mikoani, majimboni na kanda. Ni wazi kuwa mnajuana. Hakikisheni mnatambuana kwa maeneo yenu; kiwilaya, kimkoa, kimajimbo & kikanda. Mkiona sura isiyotoka mkoani kwenu au wilayani au jimboni kwenu, kuleni naye sahani moja.

4. Hakikisheni ukumbini wanaingia wajumbe halali tu na mnakaa kimaeneo: Wilaya, mkoa, jimbo na kanda

5. TEAM TUNDU LISSU hili ni kwa ajili yenu. Hakikisheni, kila wilaya, jimbo, mkoa na kanda mna wapiga kura waaminifu waliokula kiapo cha yamini walio tayari kuratibu kila kinachoendelea ktk ngazi hizo wakati wote wa vikao hadi siku ya uchaguzi na kuripoti kila tukio kwa waratibu wakuu wa timu ili hatua stahiki zichukuliwe haraka kabla mambo hayajaharibika...

6. Siku ya uchaguzi watamwagwa Polisi wengi sana wenye uniform na wasiovaa uniform wakiwa na magari ya deraya isivyo kawaida. Dhana iliyojengwa kuhalalisha hiyo hali, ni intelejensia yao feki kusema kuwa mkutano wenu utakuwa na vurugu hivyo wamekuja kuwalinda. Lakini muwe na uhakika kabisa hao ndio watakuwa waanzilishi wa vurugu na watawalinda hadi kutoweka salama waleta vurugu hao ambao actually hawatakuwa wana CHADEMA. Hiyo ni moja ya mbinu ya kumshindisha Freeman Mbowe kama wanavyofanyaga kwenye hizi chaguzi za nchi. LAKINI BWANA MUNGU WA MAJESHI ANASEMA HIVI: MSIOGOPE, KUWENI JASIRI, SIMAMENI IMARA NA MSIKUBALI KUCHOKOZEKA KIRAHISI...!

##Mengine jiongezeni wenyewe ili mradi mnamtaka Tundu Lissu

MUHIMU LA SISI SOTE KUJIULIZA NI HILI:

➡Kiongozi mwamba na mfalme wa anga Freeman Mbowe amelogwa na nani kiasi cha kubadilika na kuwa shetani kabisa..?

➡ Hivi ndiye huyuhyu Freeman Mbowe tunayeambiwa ana busara ktk uongozi...??

➡ Kiongozi gani mwenye busara anayetafuta uongozi kwa mbinu chafu za rushwa na kuwaua na kuwadhuru wengine..???

➡ Kwanini anaogopa sanduku la kura kiasi cha kulazimisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa mbinu za ki CCM na kusaidiwa na haohao CCM wenyewe..??

➡ Huyu mtu ni nani hasa? Anawezaje kuwa kiongozi bora wa CHADEMA iwapo anataka kuingizwa na CCM madarakani? Ataitumikia CHADEMA au hao waliomwingiza..?

HAYA KAZI KWENU, AKILI KUM-KICHWA..
 
hata kama ningekuwa msukuma nampinga lisu kwa ushenzi wake kutukana viongozi, hata nyerere alimtukana.
kichaa wenu ataokota makopo baada ya tarehe 21/01/2025
Siyo msukuma ni mmachame mlikuwa mnaifanya CHADEMA SACCOS yenu, tuonyeshe hayo matusi.

Wapuuzi nyie wakati anakuwa endorsed 2020 alikuwa hajakuwa kichaa na mropokaji? Uropokaji ameanza kwa kutaka kugombea uenyekiti wa CHADEMA?
Vichaa nyie
 
Halafu tujadili hoja yake maana kama mtanzania na CHADEMA kina maslahi ya watanzania huna haki ya kumnyang'anya haki yake ya kujadili siasa za Tanzania.

Kwa hiyo hivyo vigezo vyako vinampoka haki yake? Akuamua kurudi CHADEMA una haki ya kumzuia?
Great mind discusses ideas
Simple mind discuss events and foolish mind discusses people.
Nyumbu wa Sultan Mbowe wana hasira na kila anayemuunga mkono Lissu.
 
Back
Top Bottom