residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ameshamalizwa tayari. Mkimsikia tena mniite mbwa. Si ajabu hata altare ataikinbia kwa aibu ile iliyoibiliwa na Lisu. Mungu anafichua kidogo kidogo wachumia tumbo eti ni watumishi wake
Mbowe kaamua kuiua Chadema!!! Ajue akishinda atabaki na chama mfu kama CUF ya Lipumba
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...
Mbowe must go! Heshima yake imeporomoka Kwa Kasi ya mwanga.Mwenzio walau umemtambua kwa hayo, wewe ni nani sasa?
Mbowe ni pandikizi lenu ndani ya Chadema, hana hata haya
Libaba lizima linang'ang'ania madaraka kitu ambacho kimemshinda zaidi ya miaka 20 sasa
Kipi kipya atafanya sasa?
Suala ni kupiga kura, ama ni uasisi wa siasa chafu umeanzishwa na chama gani?Mkuu unataka kusema 1995 ulipiga kura?
If not, tuheshimiane
Ukweli mtupu.Mbowe kaamua kuiua Chadema!!! Ajue akishinda atabaki na chama mfu kama CUF ya Lipumba
Huyo jamaa ni mpuuzi sana.Katika wapumbavu bora jukwaani utakuwa unaongoza, ametiaje mkataba? Akiwa afisa wa serikali au kanisa? Na alikuwa ana mamlaka gani kanisani ya kuingia mkataba kwa niaba ya kanisa?
Upumbavu wako wa udini unakufanya uonekane hopeless
Rais mwenyewe huwa anawatuka hadharani mawaziri wakeRais apewe heshima yake kuliko kutoa hoja kwa kumuadress kihuni. Mzee Slaa hajanifurahisa sawa na Lissu qnavyomuadress rais bila kuzingatia yeye ni kiongozi wetu
Balozi😳
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...
Kwani si tunazungumzia uchaguzi ndani ya CDM mkuu?Suala ni kupiga kura, ama ni uasisi wa siasa chafu umeanzishwa na chama gani?
Huyu Mzee tapeli.Mbona yeye alipewa na ubalozi akahongwa!
Ulisema cdm ndio waasisi wa siasa chafu hapa nchini, nikakukumbusha chama waasisi wa siasa chafu hapa nchini kwa ushahidi. Una jingine kwa ufafanuzi zaidi?Kwani si tunazungumzia uchaguzi ndani ya CDM mkuu?
Au ni uchaguzi wa nchi nzima
Badilisha hiyo title,acha ukuda.
Hivi huyu Padri kwan alieudi lini CDM!?
Hivi sasa Rais muislam anajifanya sio ccmDokta Mihogo ameongea pointi nzito mno.