We endelea ku"zuga" tuu, sisi tunakanyaga twende.Hili suala la Mkataba wa chief mangungo wa kuuzwa bandari yetu milele litatugawa Taifa Zima pande mbili , wanaokubali na wanaokataa na Kwa vile bandari waarabu wamepewa milele basi Mgogoro huu nao ni WA milele daima dumu! Kamwe watz Hatutokubaliana milele!
umoja wa Taifa la Nyerere kwishney!
Huyo Bw Slaay ana haki kama raia kulalamika maana hakuna mmiliki wa nchi au Mali za nchi!
Ila mi niko upande wa HAPANA! Kama ukiwekwa ukomo wa Mkataba nakuwa NDIYO! Mlio upande wa Ndiyo poleni kwa kuendekeza ujinga na utumwa wa mtu mweusi!
Huyo si wa kufungwa, apelekwe mental hospital. Yeye na Lussu.
Wehu wawili wawe wanapiga story huko.
Nilisema jana, simshangai Slaa, nawashangaa wanaomfata huyo mzee aliyekosa maadili hata ya uchungaji kondoo kanisani.
Niliwahi kuandika haya, bofya chini, kuhusu Slaa miaka mingi sana nyuma:
Dokta Slaa Ungesema Utahalalisha Bangi Ningekuelewa...
Dr.W.Slaa, umenishangaza sana kutaka kuhalalisha gongo wakati madhara yake kiafya na kiuchumi ni makubwa sana. Ningekuelewa na ningekupigia debe na kukuunga mkono ungetangaza kuwa ukichaguliwa utahalalisha bangi lakini gongo? ni no no no no, unaonekana ni kituko tu. Kama tulivyoona juzi juzi...www.jamiiforums.com
Elections 2015 - Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa
Hilo wala si uongo. Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi. Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani. Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi. Mimi nnaamini Lowassa ni mtu...www.jamiiforums.com
huu mkataba unaruhusu sheria mpya kubadilisha kifungu cha mkataba? . utaje na kifungu kwenye mkatabaWe endelea ku"zuga" tuu, sisi tunakanyaga twende.
Mkapa aliambiwa hivyo hivyo anauza nchi, je ni kweli nchi imeuzwa, Mama aendelee na huu mpango sio lazima sote tukubaliane ila dhamira ya Mama ni nyeupe sana hatuihitaji kuwa kama Masai ng'ombe 5,000 halafu anaishi maisha duni.
Mbona migodi inaendeshwa na wageni na kila wakati tunatunga sheria mpya za madini na wanatekeleza?
Domo la kilafi utaliona tu, halijifichi.
Natamani kwa sasa CDF Gen Mkunda naye atoe maoni yake kuhusu bandari. Na kwa usomi wake na uzalendo alionao hayatapishana na Dr Slaa, jee naye watamnyanganya ujenerali wake? Watamvua uCDF? Na mwisho watamkamata na kumtupa Lupango?Napingana na Dr. Slaa kwa mengi lakini kwenye hili la bandari amesaidia sana kuonesha sana uzalendo na kujitoa kuipigania Tanganyika kwa jasho na damu
Sent using Jamii Forums mobile app
Domo la kilafi utaliona tu, halijifichi.
Mama anafungua nchiKama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.
Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.
Ilikuwa akamatwe jnne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga serikali. . .
Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Twice the patrioticonce a traitor....
Slaa hakusaliti cdm bali alimkataa fisadi Lowasa.Umeamua kuleta uzushi wako hapa, hata Kidata alivuliwa hadhi ya ubalozi na shujaa kwahiyo kama ulozi wako upo sahihi si jambo la ajabu.
Huyo babu msaliti kwa wenzie hana moral authority ya kuzungumzia chochote maana hana huo usafi.
Tena amecheleweshwa sanaKama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.
Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.
Ilikuwa akamatwe jnne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga serikali. . .
Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
always a traitoronce a traitor....
Kwani umetumwa, jisemee mwenyeweWanazuia tsunami kwa mikono watanzania hatutaki bandari kuuzwa kwa bed chew na milele Hapana Hapana