Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Unazingumzia UHURU VS RUTO AU RUTO VS GACHAGWA.Ni kwa nchi kama Tanzania. Kenya hapo Makamu walipishana na Rasi mbona hakuna mambo ya kiwaki kama hapa kwetu ? Ulifwata utaratibu makamu akapigwa chini na anajulikana alipo na mambo mengine yanaendelea..
Gachagwa ndio kapigwa chini juzi juzi hapoUnazingumzia UHURU VS RUTO AU RUTO VS GACHAGWA.
Ni kweli yanavutia Sana na ni mazuri mnoVyote hivyo vinaweza kukufanya uvutiwe na maisha yao
Ruto vs RiG G bila shakaUnazingumzia UHURU VS RUTO AU RUTO VS GACHAGWA.
siasa ni sayansi gentleman,Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela
Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi kwao na wanafamilia wao kupata kazi, kupata huduma za kijamii zilizo bora, upendeleo kwa kila kitu, heshima, hadhi nakadha wa kadha
Vyote hivyo vinaweza kukufanya uvutiwe na maisha yao
Hata hivyo ukitafakari visanga na mikiki mikiki wanayoipitia unaanza kuwaonea huruma wao na familia zao na kupenda maisha yako uliyo nayo
Kuna siku nimejikuta natoa machozi kwa kumkumbuka Polepola na namna familia yake wakiongozwa na Mama yao mzazi walivyomlilia kipindi kile ametwaliwa na wasiojulikana kutoka alipokuwa anaishi
Ndugu kuondokewa na ndugu yao bila kuona kama amekufa au amekuwaje inaumiza sana
Hakuna anayejua familia ya Dr. Balozi Emmanuel Nchimbi inapitia wakati gani kwa mtu wao kujiondoa ghafla kwenye madaraka makubwa huku ikifuatiwa na kutimuliwa uanachama
Kwa vyovyote vile, huyu ana ndugu ambao nao ni wanachama wa chama chake; swali ni je wanaishije huko kwa sasa? Wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliomtimua ndugu yao?
Vivyo hivyo bilashaka ana ndugu, jamaa na marafiki wanaofanya kazi serikalini pengine kwenye idara au sekta nyeti nyeti.
Swali ni lile lile; wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliosababisha ndugu yao kuachia ngazi? Wanaangalianaje huko waliko?
Kuna hawa wanasiasa wa upinzani ukiona wanavyoburuzwa na mapolisi kila kukicha, wanavyopandishwa kwenye makarandinga, kila siku ni lock-up lock-up na wao, mahakamani kumejaa kesi zao na kadhalika kiasi kwamba huwezi kutamani maisha yao
Kitu pekee kinachoweza kukufanya ufanikiwe ni kuwa mnafiki, chawa na kujifanya zwazwa kwa wakubwa zako ili uendelee kuwepo
Kwenye siasa hutakiwi kwenda na akili zako timamu wala kuwaza na kutenda haki
Kwenye siasa hutakiwi kuwa mzalendo kwa nchi yako badala yake unatakiwa kuwa mzalendo kwa chama chako na viongozi wa chama chako. Hapa ni kwa wote, wa chama tawala na vile vya upinzani
Mfano mzuri ni Balozi Hamphrey PolePole na Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi
Hawa manguli kuna namna wametuachia maswali mengi ya kutafakari kabla haujaamua kuwa mwanasiasa au mwanafamilia wako kutamani kuwa mwanasiasa
Hawa ni somo tosha kwa wote wanaotaka na kutamani kushika nyadhifa kubwa za kisiasa
Walikuwepo kina Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, David Kafulila, kina Massele na wengineo.
Waliwatetemesha watawala, waliwavutia watawaliwa.
Lakini kwasasa ni kama kwao kuna machache sana ya kujifunza kuliko kwa kina Polepole na Nchimbi
Kupitia hawa inabidi jamii iamke na ijue kwamba Nyerere na wenzake hawakupata uhuru kirahisi hivyo bila mashinikizo kwa watawala itakuwa vigumu kwao kutenda haki
Watawala wa kisiasa wanafanana!! Wakishakalia viti kwao haki kwa wananchi inageuka anasa!
Hawataki kuambiwa na anayethubutu kuwaambia anageuka mhaini adui mkubwa. Hiki ndicho kilicho wakuta ndugu zetu Nchimbi na Polepole
Wote wanaoishi kwa kumuogopa binadamu, mshahara wao ni MAUTI..ishi kwa kumuogopa anayeweza kuharibu mwili na roho..usipumbazwe na mapambo ya nje, anakuambia suleiman mtu pekee aliyejaliwa kati ya binadamu wote hadi sasa kuishi kwa fahari zote unazozijua..anakuambia vyote ni upuuzi! Thamini roho yako..kataa kuwa sehemu ya uovu hata ikibidi kutoa uhai wako!Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela
Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi kwao na wanafamilia wao kupata kazi, kupata huduma za kijamii zilizo bora, upendeleo kwa kila kitu, heshima, hadhi nakadha wa kadha
Vyote hivyo vinaweza kukufanya uvutiwe na maisha yao
Hata hivyo ukitafakari visanga na mikiki mikiki wanayoipitia unaanza kuwaonea huruma wao na familia zao na kupenda maisha yako uliyo nayo
Kuna siku nimejikuta natoa machozi kwa kumkumbuka Polepola na namna familia yake wakiongozwa na Mama yao mzazi walivyomlilia kipindi kile ametwaliwa na wasiojulikana kutoka alipokuwa anaishi
Ndugu kuondokewa na ndugu yao bila kuona kama amekufa au amekuwaje inaumiza sana
Hakuna anayejua familia ya Dr. Balozi Emmanuel Nchimbi inapitia wakati gani kwa mtu wao kujiondoa ghafla kwenye madaraka makubwa huku ikifuatiwa na kutimuliwa uanachama
Kwa vyovyote vile, huyu ana ndugu ambao nao ni wanachama wa chama chake; swali ni je wanaishije huko kwa sasa? Wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliomtimua ndugu yao?
Vivyo hivyo bilashaka ana ndugu, jamaa na marafiki wanaofanya kazi serikalini pengine kwenye idara au sekta nyeti nyeti.
Swali ni lile lile; wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliosababisha ndugu yao kuachia ngazi? Wanaangalianaje huko waliko?
Kuna hawa wanasiasa wa upinzani ukiona wanavyoburuzwa na mapolisi kila kukicha, wanavyopandishwa kwenye makarandinga, kila siku ni lock-up lock-up na wao, mahakamani kumejaa kesi zao na kadhalika kiasi kwamba huwezi kutamani maisha yao
Kitu pekee kinachoweza kukufanya ufanikiwe ni kuwa mnafiki, chawa na kujifanya zwazwa kwa wakubwa zako ili uendelee kuwepo
Kwenye siasa hutakiwi kwenda na akili zako timamu wala kuwaza na kutenda haki
Kwenye siasa hutakiwi kuwa mzalendo kwa nchi yako badala yake unatakiwa kuwa mzalendo kwa chama chako na viongozi wa chama chako. Hapa ni kwa wote, wa chama tawala na vile vya upinzani
Mfano mzuri ni Balozi Hamphrey PolePole na Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi
Hawa manguli kuna namna wametuachia maswali mengi ya kutafakari kabla haujaamua kuwa mwanasiasa au mwanafamilia wako kutamani kuwa mwanasiasa
Hawa ni somo tosha kwa wote wanaotaka na kutamani kushika nyadhifa kubwa za kisiasa
Walikuwepo kina Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, David Kafulila, kina Massele na wengineo.
Waliwatetemesha watawala, waliwavutia watawaliwa.
Lakini kwasasa ni kama kwao kuna machache sana ya kujifunza kuliko kwa kina Polepole na Nchimbi
Kupitia hawa inabidi jamii iamke na ijue kwamba Nyerere na wenzake hawakupata uhuru kirahisi hivyo bila mashinikizo kwa watawala itakuwa vigumu kwao kutenda haki
Watawala wa kisiasa wanafanana!! Wakishakalia viti kwao haki kwa wananchi inageuka anasa!
Hawataki kuambiwa na anayethubutu kuwaambia anageuka mhaini adui mkubwa. Hiki ndicho kilicho wakuta ndugu zetu Nchimbi na Polepole
Nimesoma kichwa cha mada na mistari hii michache chini yake nikajuwa hujui unachozungumzia hapa.Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela
... NA KELELE ZAO HAZINA TOFAUTI NA KENGELE ZA KIFO KWA WENZAO!Popote penye masilahi ndipo penye uovu na kifo ni kugusa.
Huyo Nchimbi na Polepole wangeamua kukaa kimya sidhani kama kuna jambo lingewakuta.
Naunga mkono hojaKuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela
Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi kwao na wanafamilia wao kupata kazi, kupata huduma za kijamii zilizo bora, upendeleo kwa kila kitu, heshima, hadhi nakadha wa kadha
Vyote hivyo vinaweza kukufanya uvutiwe na maisha yao
Hata hivyo ukitafakari visanga na mikiki mikiki wanayoipitia unaanza kuwaonea huruma wao na familia zao na kupenda maisha yako uliyo nayo
Kuna siku nimejikuta natoa machozi kwa kumkumbuka Polepola na namna familia yake wakiongozwa na Mama yao mzazi walivyomlilia kipindi kile ametwaliwa na wasiojulikana kutoka alipokuwa anaishi
Ndugu kuondokewa na ndugu yao bila kuona kama amekufa au amekuwaje inaumiza sana
Hakuna anayejua familia ya Dr. Balozi Emmanuel Nchimbi inapitia wakati gani kwa mtu wao kujiondoa ghafla kwenye madaraka makubwa huku ikifuatiwa na kutimuliwa uanachama
Kwa vyovyote vile, huyu ana ndugu ambao nao ni wanachama wa chama chake; swali ni je wanaishije huko kwa sasa? Wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliomtimua ndugu yao?
Vivyo hivyo bilashaka ana ndugu, jamaa na marafiki wanaofanya kazi serikalini pengine kwenye idara au sekta nyeti nyeti.
Swali ni lile lile; wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliosababisha ndugu yao kuachia ngazi? Wanaangalianaje huko waliko?
Kuna hawa wanasiasa wa upinzani ukiona wanavyoburuzwa na mapolisi kila kukicha, wanavyopandishwa kwenye makarandinga, kila siku ni lock-up lock-up na wao, mahakamani kumejaa kesi zao na kadhalika kiasi kwamba huwezi kutamani maisha yao
Kitu pekee kinachoweza kukufanya ufanikiwe ni kuwa mnafiki, chawa na kujifanya zwazwa kwa wakubwa zako ili uendelee kuwepo
Kwenye siasa hutakiwi kwenda na akili zako timamu wala kuwaza na kutenda haki
Kwenye siasa hutakiwi kuwa mzalendo kwa nchi yako badala yake unatakiwa kuwa mzalendo kwa chama chako na viongozi wa chama chako. Hapa ni kwa wote, wa chama tawala na vile vya upinzani
Mfano mzuri ni Balozi Hamphrey PolePole na Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi
Hawa manguli kuna namna wametuachia maswali mengi ya kutafakari kabla haujaamua kuwa mwanasiasa au mwanafamilia wako kutamani kuwa mwanasiasa
Hawa ni somo tosha kwa wote wanaotaka na kutamani kushika nyadhifa kubwa za kisiasa
Walikuwepo kina Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, David Kafulila, kina Massele na wengineo.
Waliwatetemesha watawala, waliwavutia watawaliwa.
Lakini kwasasa ni kama kwao kuna machache sana ya kujifunza kuliko kwa kina Polepole na Nchimbi
Kupitia hawa inabidi jamii iamke na ijue kwamba Nyerere na wenzake hawakupata uhuru kirahisi hivyo bila mashinikizo kwa watawala itakuwa vigumu kwao kutenda haki
Watawala wa kisiasa wanafanana!! Wakishakalia viti kwao haki kwa wananchi inageuka anasa!
Hawataki kuambiwa na anayethubutu kuwaambia anageuka mhaini adui mkubwa. Hiki ndicho kilicho wakuta ndugu zetu Nchimbi na Polepole
Point of correction:Popote penye masilahi ndipo penye uovu na kifo ni kugusa.
Huyo Nchimbi na Polepole wangeamua kukaa kimya sidhani kama kuna jambo lingewakuta.
Wewe unayeijua siasa tueleze siasa ni nini na utupe mifano ya waliofanya siasa ya kutetea maslahi ya nchi na wananchi wakabaki salama na maisha mazuriNimesoma kichwa cha mada na mistari hii michache chini yake nikajuwa hujui unachozungumzia hapa.
Hiyo unayoiita "SIASA" wewe ndlo kosa kuu la mada yako.
Hao unaowazungumzia hawafanyi siasa, wanafanya uharamia.
Kwa hiyo nakuomba kwanza uelewe maana ya siasa ni kitu gani kwanza kabla ya kuchanganya mambo kama ulivyofanya hapa.
Tanzania hakuna siasa chini ya Samia na Genge lake.
Sema hasara ya kutokubali mgombea binafsiKuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela
Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi kwao na wanafamilia wao kupata kazi, kupata huduma za kijamii zilizo bora, upendeleo kwa kila kitu, heshima, hadhi nakadha wa kadha
Vyote hivyo vinaweza kukufanya uvutiwe na maisha yao
Hata hivyo ukitafakari visanga na mikiki mikiki wanayoipitia unaanza kuwaonea huruma wao na familia zao na kupenda maisha yako uliyo nayo
Kuna siku nimejikuta natoa machozi kwa kumkumbuka Polepola na namna familia yake wakiongozwa na Mama yao mzazi walivyomlilia kipindi kile ametwaliwa na wasiojulikana kutoka alipokuwa anaishi
Ndugu kuondokewa na ndugu yao bila kuona kama amekufa au amekuwaje inaumiza sana
Hakuna anayejua familia ya Dr. Balozi Emmanuel Nchimbi inapitia wakati gani kwa mtu wao kujiondoa ghafla kwenye madaraka makubwa huku ikifuatiwa na kutimuliwa uanachama
Kwa vyovyote vile, huyu ana ndugu ambao nao ni wanachama wa chama chake; swali ni je wanaishije huko kwa sasa? Wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliomtimua ndugu yao?
Vivyo hivyo bilashaka ana ndugu, jamaa na marafiki wanaofanya kazi serikalini pengine kwenye idara au sekta nyeti nyeti.
Swali ni lile lile; wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliosababisha ndugu yao kuachia ngazi? Wanaangalianaje huko waliko?
Kuna hawa wanasiasa wa upinzani ukiona wanavyoburuzwa na mapolisi kila kukicha, wanavyopandishwa kwenye makarandinga, kila siku ni lock-up lock-up na wao, mahakamani kumejaa kesi zao na kadhalika kiasi kwamba huwezi kutamani maisha yao
Kitu pekee kinachoweza kukufanya ufanikiwe ni kuwa mnafiki, chawa na kujifanya zwazwa kwa wakubwa zako ili uendelee kuwepo
Kwenye siasa hutakiwi kwenda na akili zako timamu wala kuwaza na kutenda haki
Kwenye siasa hutakiwi kuwa mzalendo kwa nchi yako badala yake unatakiwa kuwa mzalendo kwa chama chako na viongozi wa chama chako. Hapa ni kwa wote, wa chama tawala na vile vya upinzani
Mfano mzuri ni Balozi Hamphrey PolePole na Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi
Hawa manguli kuna namna wametuachia maswali mengi ya kutafakari kabla haujaamua kuwa mwanasiasa au mwanafamilia wako kutamani kuwa mwanasiasa
Hawa ni somo tosha kwa wote wanaotaka na kutamani kushika nyadhifa kubwa za kisiasa
Walikuwepo kina Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, David Kafulila, kina Massele na wengineo.
Waliwatetemesha watawala, waliwavutia watawaliwa.
Lakini kwasasa ni kama kwao kuna machache sana ya kujifunza kuliko kwa kina Polepole na Nchimbi
Kupitia hawa inabidi jamii iamke na ijue kwamba Nyerere na wenzake hawakupata uhuru kirahisi hivyo bila mashinikizo kwa watawala itakuwa vigumu kwao kutenda haki
Watawala wa kisiasa wanafanana!! Wakishakalia viti kwao haki kwa wananchi inageuka anasa!
Hawataki kuambiwa na anayethubutu kuwaambia anageuka mhaini adui mkubwa. Hiki ndicho kilicho wakuta ndugu zetu Nchimbi na Polepole
Kwa hiyo ni wazi hujui maana ya siasa ni nini, na huoni aibu kuzungumzia kitu usichokifahamu!Wewe unayeijua siasa tueleze siasa ni nini na utupe mifano ya waliofanya siasa ya kutetea maslahi ya nchi na wananchi wakabaki salama na maisha mazuri
Kwa hiyo ni wazi hujui maana ya siasa ni nini, na huoni aibu kuzungumzia kitu usichokifahamu!
"....mifano ya wafanya siasa ya kutetea maslahi ya nchi na wananchi wakabaki salama na maisha mazuri."
Unapoandika maneno kama haya unaelewa maana ya unachokiandika, au unajiandikia tu!
Hii ni kuonyesha kuwa hujui chochote, na ni vigumu kumfundisha kitu mtu ambaye hana hata msingi wa kuanzia kuelewa chochote.