Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi na Balozi Hamphrey Polepole; mfano halisi wa ugumu wa siasa

Nimekubali sielewi chochote nitaendelea kujifunza labda itafika siku nitaelewa. Hata hivyo wewe nadhani wewe ndio debe tupu kabisa ambalo hata likiguswa na mende linaishia kupiga kelele
Utajifunza vipi wakati hata njia za kujifunza huzijui.
Huwezi kuingia JF kupotezea watu muda eti unajifunza; na wakati huo huo ukijaza takataka jukwaani kuvuruga hoja za wanaojuwa wanayojadili.
 
Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela

Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi kwao na wanafamilia wao kupata kazi, kupata huduma za kijamii zilizo bora, upendeleo kwa kila kitu, heshima, hadhi nakadha wa kadha

Vyote hivyo vinaweza kukufanya uvutiwe na maisha yao

Hata hivyo ukitafakari visanga na mikiki mikiki wanayoipitia unaanza kuwaonea huruma wao na familia zao na kupenda maisha yako uliyo nayo

Kuna siku nimejikuta natoa machozi kwa kumkumbuka Polepola na namna familia yake wakiongozwa na Mama yao mzazi walivyomlilia kipindi kile ametwaliwa na wasiojulikana kutoka alipokuwa anaishi

Ndugu kuondokewa na ndugu yao bila kuona kama amekufa au amekuwaje inaumiza sana

Hakuna anayejua familia ya Dr. Balozi Emmanuel Nchimbi inapitia wakati gani kwa mtu wao kujiondoa ghafla kwenye madaraka makubwa huku ikifuatiwa na kutimuliwa uanachama

Kwa vyovyote vile, huyu ana ndugu ambao nao ni wanachama wa chama chake; swali ni je wanaishije huko kwa sasa? Wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliomtimua ndugu yao?

Vivyo hivyo bilashaka ana ndugu, jamaa na marafiki wanaofanya kazi serikalini pengine kwenye idara au sekta nyeti nyeti.

Swali ni lile lile; wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliosababisha ndugu yao kuachia ngazi? Wanaangalianaje huko waliko?

Kuna hawa wanasiasa wa upinzani ukiona wanavyoburuzwa na mapolisi kila kukicha, wanavyopandishwa kwenye makarandinga, kila siku ni lock-up lock-up na wao, mahakamani kumejaa kesi zao na kadhalika kiasi kwamba huwezi kutamani maisha yao

Kitu pekee kinachoweza kukufanya ufanikiwe ni kuwa mnafiki, chawa na kujifanya zwazwa kwa wakubwa zako ili uendelee kuwepo

Kwenye siasa hutakiwi kwenda na akili zako timamu wala kuwaza na kutenda haki

Kwenye siasa hutakiwi kuwa mzalendo kwa nchi yako badala yake unatakiwa kuwa mzalendo kwa chama chako na viongozi wa chama chako. Hapa ni kwa wote, wa chama tawala na vile vya upinzani

Mfano mzuri ni Balozi Hamphrey PolePole na Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi

Hawa manguli kuna namna wametuachia maswali mengi ya kutafakari kabla haujaamua kuwa mwanasiasa au mwanafamilia wako kutamani kuwa mwanasiasa

Hawa ni somo tosha kwa wote wanaotaka na kutamani kushika nyadhifa kubwa za kisiasa

Walikuwepo kina Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, David Kafulila, kina Massele na wengineo.

Waliwatetemesha watawala, waliwavutia watawaliwa.

Lakini kwasasa ni kama kwao kuna machache sana ya kujifunza kuliko kwa kina Polepole na Nchimbi

Kupitia hawa inabidi jamii iamke na ijue kwamba Nyerere na wenzake hawakupata uhuru kirahisi hivyo bila mashinikizo kwa watawala itakuwa vigumu kwao kutenda haki

Watawala wa kisiasa wanafanana!! Wakishakalia viti kwao haki kwa wananchi inageuka anasa!

Hawataki kuambiwa na anayethubutu kuwaambia anageuka mhaini adui mkubwa. Hiki ndicho kilicho wakuta ndugu zetu Nchimbi na Polepole
 
Attachments

  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
Utajifunza vipi wakati hata njia za kujifunza huzijui.
Huwezi kuingia JF kupotezea watu muda eti unajifunza; na wakati huo huo ukijaza takataka jukwaani kuvuruga hoja za wanaojuwa wanayojadili.
Taka taka ni mtu kama wewe unayeshindwa kutumia akili na maarifa kutafuta maisha badala yake unaishia kuwa chawa na kuabudu watu ili uishi.

Mwenzenu kajipa cheo cha kuwa msemaji wa familia, endelea kusubiri kuna nafasi inakuja ya kufua bikini za yule wa kike
 
Na kumsugua kucha yule wa kike usisahau
 
Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna hela na maisha ni hela

Magari wanayotembelea, nyumba wanazoishi, maisha wanayoishi, ilivyo rahisi kwao na wanafamilia wao kupata kazi, kupata huduma za kijamii zilizo bora, upendeleo kwa kila kitu, heshima, hadhi nakadha wa kadha

Vyote hivyo vinaweza kukufanya uvutiwe na maisha yao

Hata hivyo ukitafakari visanga na mikiki mikiki wanayoipitia unaanza kuwaonea huruma wao na familia zao na kupenda maisha yako uliyo nayo

Kuna siku nimejikuta natoa machozi kwa kumkumbuka Polepola na namna familia yake wakiongozwa na Mama yao mzazi walivyomlilia kipindi kile ametwaliwa na wasiojulikana kutoka alipokuwa anaishi

Ndugu kuondokewa na ndugu yao bila kuona kama amekufa au amekuwaje inaumiza sana

Hakuna anayejua familia ya Dr. Balozi Emmanuel Nchimbi inapitia wakati gani kwa mtu wao kujiondoa ghafla kwenye madaraka makubwa huku ikifuatiwa na kutimuliwa uanachama

Kwa vyovyote vile, huyu ana ndugu ambao nao ni wanachama wa chama chake; swali ni je wanaishije huko kwa sasa? Wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliomtimua ndugu yao?

Vivyo hivyo bilashaka ana ndugu, jamaa na marafiki wanaofanya kazi serikalini pengine kwenye idara au sekta nyeti nyeti.

Swali ni lile lile; wanaangaliwaje? Wanawaangaliaje waliosababisha ndugu yao kuachia ngazi? Wanaangalianaje huko waliko?

Kuna hawa wanasiasa wa upinzani ukiona wanavyoburuzwa na mapolisi kila kukicha, wanavyopandishwa kwenye makarandinga, kila siku ni lock-up lock-up na wao, mahakamani kumejaa kesi zao na kadhalika kiasi kwamba huwezi kutamani maisha yao

Kitu pekee kinachoweza kukufanya ufanikiwe ni kuwa mnafiki, chawa na kujifanya zwazwa kwa wakubwa zako ili uendelee kuwepo

Kwenye siasa hutakiwi kwenda na akili zako timamu wala kuwaza na kutenda haki

Kwenye siasa hutakiwi kuwa mzalendo kwa nchi yako badala yake unatakiwa kuwa mzalendo kwa chama chako na viongozi wa chama chako. Hapa ni kwa wote, wa chama tawala na vile vya upinzani

Mfano mzuri ni Balozi Hamphrey PolePole na Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi

Hawa manguli kuna namna wametuachia maswali mengi ya kutafakari kabla haujaamua kuwa mwanasiasa au mwanafamilia wako kutamani kuwa mwanasiasa

Hawa ni somo tosha kwa wote wanaotaka na kutamani kushika nyadhifa kubwa za kisiasa

Walikuwepo kina Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, David Kafulila, kina Massele na wengineo.

Waliwatetemesha watawala, waliwavutia watawaliwa.

Lakini kwasasa ni kama kwao kuna machache sana ya kujifunza kuliko kwa kina Polepole na Nchimbi

Kupitia hawa inabidi jamii iamke na ijue kwamba Nyerere na wenzake hawakupata uhuru kirahisi hivyo bila mashinikizo kwa watawala itakuwa vigumu kwao kutenda haki

Watawala wa kisiasa wanafanana!! Wakishakalia viti kwao haki kwa wananchi inageuka anasa!

Hawataki kuambiwa na anayethubutu kuwaambia anageuka mhaini adui mkubwa. Hiki ndicho kilicho wakuta ndugu zetu Nchimbi na Polepole
Popote penye maslahi ndo hali iko hivyo,hata huku maofisini ukianza kupanda juu huku kwenye mishahara ya 25milioni kwenda juu,yaani mwilk wako unatakiwa uwe imara sana,na ili udumu sana inabidi uwe mnafiki haswa na chawa wa mabosi wako la sivyo unapigwa chini mapema sana
 
Tulimlaumu bure Idd Amin Dada kumwona katili na hata wakoloni au makaburu Kumbe akina sa100 ni wanyama zaidi yao.
 
Taka taka ni mtu kama wewe unayeshindwa kutumia akili na maarifa kutafuta maisha badala yake unaishia kuwa chawa na kuabudu watu ili uishi.
Nitafute maisha kwa mhalifu Samia kama unavyofanya wewe? Huoni kuwa wewe ni ki'toilet paper' anachotumia chooni huyo mfadhili wako; ambaye sasa unataka na mimi "nitumie akili" mbovu kama ulizo nazo wewe zinazokushusha utu wako na kuwa kifaa cha kufuta uchafu wa huyo unayemwita mwanasiasa wakati hana hata chembe ndogo ya kujuwa siasa ni nini kama usivyojuwa wewe?

Kuonyesha ni kiasi gani ulivyochanganyikiwa ni kurudi kwenye mada mbovu kabisa ulivyoianzisha na maelezo uliyotowa mwenyewe; halafu uje hapa na kuwa na uthubutu wa kuita watu wengine kuwa "wanaishia kuwa chawa na kuabudu ili waishi"!
Umesoma vizuri ulichokiandika kwenye mada hiyo na kukielewa kabla ya kujichanganaya mwenyewe hapa?
 
Back
Top Bottom