Ila mbona Jiwe alikuwa anamuogopa Samia
View attachment 1786045
Balozi Joseph Edward Sokoine alimtembelea Tundu Lissu Hospital Belgian baada ya tukio hili alirejeshwa nyumbani haraka.
Leo Mh Rais Mama Samia Suluhu kamteua kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Pia soma> Tundu Lissu: Balozi Joseph Sokoine alirudishwa Tanzania baada ya kunitembelea Hospitali nchini Ubelgiji
Mwenyezi Mungu fundi sana huyu hakutenda kosa lolote zaidi ya kuonyesha ubinadamu wake wa kumjulia hali Mtanzania mwenzie kwa kulazwa ughaibuni na kumpa pole. Joseph ni mtu poa sana. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana ππΎ
Kama taifa tulishafika kubaya
Angemfanya mfanya nini wakati wamepigiwa kura wote wawili na wananchi hakuna wa kumfukuza kazi mwenzake paleIla mbona Jiwe alikuwa anamuogopa Samia
Kwakweli sasa naanza kujisikia kama MtanzaniaChuki imeshindwa, umoja wa kitaifa unakwenda kuimarishwa. Hatutokaa tuwape nchi wanyantusu tena! Wana roho za ajabu kabisa.
Haki huinua taifa. Mungu ameonesha kuwa Yeye ndiye Mkuu.Mwenyezi Mungu fundi sana huyu hakutenda kosa lolote zaidi ya kuonyesha ubinadamu wake wa kumjulia hali Mtanzania mwenzie kwa kulazwa ughaibuni na kumpa pole. Joseph ni mtu poa sana. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana ππΎ