Balozi Joseph Sokoine ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Balozi Joseph Sokoine ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Sokoine ana mtoto wake mmoja jina limenitoka, ila jamaa alisoma Cuba
Ila mtata sana,nashangaa hapewi teuzi
[emoji23][emoji23]

Ova
 
Balozi Joseph Edward Sokoine alimtembelea Tundu Lissu Hospital Belgian baada ya tukio hili alirejeshwa nyumbani haraka.

Leo Mh Rais Mama Samia Suluhu kamteua kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Pia soma> Tundu Lissu: Balozi Joseph Sokoine alirudishwa Tanzania baada ya kunitembelea Hospitali nchini Ubelgiji
Huyu ni carrier diplomat,sio kupereka watu wenye mijicho mikubwa wanaojuwa kutumbua mimacho kama Kabudi.
 
Hata Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe alimtembelea Tundu Nairobi hospital
Uzuri ni kwamba Kiongozi wa Serikali aliyemtembelea Lissu Nairobi amempa shavu kiongozi wa Serikali aliyemtembelea Lissu Belgium.

Halafu Mwendazake aliyeamuru Lissu apigwe risasi 16 amekufa na aliyepigwa risasi yuko hai. Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Huyu Lissu huyu?? Zile risasi 17 zina myth ambayo sisi binadamu hatuijui.
 
Sokione Alikua Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais.

Alikua Mtiifu sana kwa Mzee Joseph Malongo Mnyanyasaji Mkubwa wa watumishi kwenye ofisi ile.
 
Uzuri ni kwamba Kiongozi wa Serikali aliyemtembelea Lissu Nairobi amempa shavu kiongozi wa Serikali aliyemtembelea Lissu Belgium.

Halafu Mwendazake aliyeamuru Lissu apigwe risasi 16 amekufa na aliyepigwa risasi yuko hai. Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Huyu Lissu huyu?? Zile risasi 17 zina myth ambayo sisi binadamu hatuijui.

Mwambie basi arudi nyumbani sasa, au anamuogopa Rais SSH
Au ndoa yake kule bado changa?
 
Utaratibu wa kumuondoa Makamu wa Rais ni mgumu kidogo,kama angekuwa Waziri Mkuu unapeleka jina lingine kwa spika wa Bunge wabunge wanampigia biashara yake inaingia hapo.

Rejea issue ya Lowassa au Warioba
Angeweza kumuacha kwenye awamu ya pili kama ambavyo alifanya Kikwete kwa Shein
 
Na bila Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi dhuluma na udhalimu utaendelea.
Hauendelei...sema kija mwingine mwenye matatzo ya akili kama mwenda zake tutaumizwa tena. Tubadilishe katiba
 
Back
Top Bottom