Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Jiheshimu wewe....Angemtumia wa2 wasiojulikana wamle 0716
au ndo umejiunga juzi JF,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiheshimu wewe....Angemtumia wa2 wasiojulikana wamle 0716
Mama anazidi tu Kumdhalilisha Mwendazake Kidiplomasia na Kutudhihirishia rasmi kuwa kwa 99% alikuwa hakubaliani na aina ya Uongozi wake sema tu alikuwa hana namna.
Or Trump na Pence, ilifika kipindi walikuwa hata hawaongei, wanakutana kwenye vikao kila mtu kapiga kimya, ila Trump na jeuri yote ile alishindwa kumtoa Pence.Ni sawa na siasa za Kenya,Uhuru na Ruto si wamoja tena lakini uhuru hana mamlaka wa ubavu wa kumwondoa Ruto.
Magufuli hakumuogopa Samia, per se.Ila mbona Jiwe alikuwa anamuogopa Samia
Sijui kwanini Mwendazake alipenda na Kuabudu sana Visasi, Chuki na Ubabe japo alikuwa anafululiza Kwenda ibadani Makanisani na mpaka kutuomba tuwe tunamuombea utadhani Yeye alikuwa hawezi na hajui Kusali...hata kumteua balozi mulamula wizara ya mambo ya nje ni kubatilisha maamuzi ya magufuli.
..mulamula aliondolewa ktk nafasi ya ukatibu mkuu wa wizara ktk namna ambayo baadhi wanaitafsiri kuwa haikuwa sahihi.
Unayo picha?Hata Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe alimtembelea Tundu Nairobi hospital
Nina nadharia inayoweza kukushangaza sana juu ya hili, lakini kwa kulinda heshima kubwa ninayompa mtu wa pili katika maelezo ya nadharia hiyo, inanilazimu ni'mute', ibaki tu ni siri yangu.Mwenyezi Mungu fundi sana huyu hakutenda kosa lolote zaidi ya kuonyesha ubinadamu wake wa kumjulia hali Mtanzania mwenzie kwa kulazwa ughaibuni na kumpa pole. Joseph ni mtu poa sana. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana 🙏🏾
Nina nadharia inayoweza kukushangaza sana juu ya hili, lakini kwa kulinda heshima kubwa ninayompa mtu wa pili katika maelezo ya nadharia hiyo, inanilazimu ni'mute', ibaki tu ni siri yangu.
Kuna miujiza mkuu, hata leo hii hutokea.
Na kikatiba haupo utaratibu kumng'oa V.P.Utaratibu wa kumuondoa Makamu wa Rais ni mgumu kidogo,kama angekuwa Waziri Mkuu unapeleka jina lingine kwa spika wa Bunge wabunge wanampigia biashara yake inaingia hapo.
Rejea issue ya Lowassa au Warioba
Na wewe unayemsaga anasemaje?Mwambie basi arudi nyumbani sasa, au anamuogopa Rais SSH
Au ndoa yake kule bado changa?
Look at the big picture ndiyo kazi ya Great Thinker. Hizo arguments waachie wale wa chit chatSasa si umwambie arudi nyumbani? Mbaya wake si kafa?
Au kule amenogewa?
Ngamanya Kitangalala bahati mbaya una miwani ya mbao. Huwezi kuona tunachokiona.Acha kupotosha wewe, mheshimiwa Balozi Joseph Sokoine, aliteuliwa na Rais hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli kuwa naibu katibu mkuu ofisi ya makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kutoka kuwa balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, hapo alifanya kazi na mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, inawezekana ndipo alitambua uwezo wake
Kwa taarifa yako, katibu mkuu/ naibu katibu wa wizara yeyote mkuu ana hadhi kubwa kuliko balozi anayetuwakilisha kwenye taifa lolote
Kwa maana hiyo, hayati Rais Magufuli alimpa promotion kutoka kuwa balozi kwenda kuwa naibu katibu mkuu ofisi ya makamu wa Rais
Na hata alipoteuliwa kuwa naibu katibu mkuu, bado aliendelea kuwa na hadhi yake ya BALOZI
Acheni upotoshaji wa hovyo hovyo
Na mara nyingi shetani yule alikua akitoka mbele ya watu hujivika ngozi ya kondoo ili aonekane mwema na kuita wenzake wanyonge,bahati mbaya alisahau kua ngozi ya kondoo imeondolewa mkia,makalio yake yote yalikua wazi na ushetani wake ulionekana kupitia ngozi ya ta,ko!Ngamanya Kitangalala bahati mbaya una miwani ya mbao. Huwezi kuona tunachokiona.
Mwendazake alikuwa Ibilisi, Shetani Mkuu. Wewe unaiona promotion lakini jamaa alikerwa na kitendo cha kumtembelea Lissu
Zile risasi 17 za lissu ni SADAKA( damu) watu wanashindwa tu kuelewaUzuri ni kwamba Kiongozi wa Serikali aliyemtembelea Lissu Nairobi amempa shavu kiongozi wa Serikali aliyemtembelea Lissu Belgium.
Halafu Mwendazake aliyeamuru Lissu apigwe risasi 16 amekufa na aliyepigwa risasi yuko hai. Mwacheni Mungu aitwe Mungu
Huyu Lissu huyu?? Zile risasi 17 zina myth ambayo sisi binadamu hatuijui.
Na wewe unayemsaga anasemaje?
Mods piga Ban huyu anaporomosha matusi.Muulize mamayako mzazi na mkeo wanaosagana wanajua shughuli yake