Balozi Joseph Sokoine ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki


..ni kweli, lakini pia sio kweli.

..wako mabalozi wanaripoti kwa Raisi moja kwa moja.

..tunao mabalozi waliopata kutumikia kama mawaziri unadhani hao wanaripoti kwa wakurugenzi wa idara?

..pia tofautisha kati ya " kuripoti " kwa mkurugenzi wa idara, na mamlaka ya nidhamu ya balozi ambaye anateuliwa na Raisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…