Balozi Mbelwa Kairuki kwenda Uingereza na Balozi Khamis Mussa Omar kwenda China ni tatizo

Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? AliyekuweponChina amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
Hala hala we mtoto mti na macho!
 
Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? AliyekuweponChina amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
Mkuu nje ya mada. Hivi huyu balozi mke wake Angelah Kairuki ana undugu na aliyekuwa chancellor wa Ujerumani Angelah Markel? Kwasababu majina yao ya kwanza Angelah yanafanana.
 
Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
Ni mzenji?
 
Ulichotaka kukisema ni Angela Kairuki mume wake ni nani? Jb unalo mkuu
Mkuu nje ya mada. Hivi huyu balozi mke wake Angelah Kairuki ana undugu na aliyekuwa chancellor wa Ujerumani Angelah Markel? Kwasababu majina yao ya kwanza Angelah yanafanana.
Kwamba??? Mnataka kupindua ndo za watu?? Uhaini wa ndoa ni mbaya kuliko wa Nchi, maana bila familia hakuna Taifa
 
Ile teuzi ya kimkakati mzee
Haikuwa ya mkakati wala nini. Wa malawi walilalamika sana jamaa alienda na nuksi. Malawi haijawahi kupata kimbunga wala kipindupindu. Lakini jamaa alippopelekwa tu kutuwakilisha haya majanga yakatokea. Ikabidi tu apewe marching order na kuonewa huruma na kutupwa huko kwa Fidel

Sang'udi Crimea jingalao
 
Kuna mabadiliko yanafanyika kisayansi sana!
Ni kama yale yaliyofanyika kumteua katibu mkuu wa wizara ya miundo mbinu ili atumike kusaini mkataba wa DP world.

Kingine;
Kinana alikuwa Katibu mkuu wa CCM Saa100 akiitishwa kuwa mgombea mwenza wa JPM 2015, leo Kinana ni makamu Mwenyekiti wa CCM kupitia Kwa Saa100.

Kilichofanyika ni kwamba kuna mikataba mibovu Saa100 aliisaini huko china sasa , kumuondoa Kairuki huko ni Ili ngoma ianze kupigwa.
 
Ni kama yale yaliyofanyika kumteua katibu mkuu wa wizara ya miundo mbinu ili atumike kusaini mkataba wa DP world.
Kingine; Kinana alikuwa Katibu mkuu wa CCM Saa100 akiitishwa kuwa mgombea mwenza wa JPM 2015, leo Kinana ni makamu Mwenyekiti wa CCM kupitia Kwa Saa100.

Kilichofanyika ni kwamba kuna mikataba mibovu Saa100 aliisaini huko china sasa , kumuondoa Kairuki huko ni Ili ngoma ianze kupigwa.
Hapana Hapa kuna kundi litaathirika kama wale friends of Lowassa 😄😄
 
Anayepangua Hata umpe ubalozi wa kenya Tanzania ni hewa.
 
Mkuu nje ya mada. Hivi huyu balozi mke wake Angelah Kairuki ana undugu na aliyekuwa chancellor wa Ujerumani Angelah Markel? Kwasababu majina yao ya kwanza Angelah yanafanana.
Angelah kairuki ni mpare
Mpare na mjeruman wapi na wapi
 
Haikuwa ya mkakati wala nini. Wa malawi walilalamika sana jamaa alienda na nuksi. Malawi haijawahi kupata kimbunga wala kipindupindu. Lakini jamaa alippopelekwa tu kutuwakilisha haya majanga yakatokea. Ikabidi tu apewe marching order na kuonewa huruma na kutupwa huko kwa Fidel

Sang'udi Crimea jingalao
sawa
 
Back
Top Bottom