Balozi Mbelwa Kairuki kwenda Uingereza na Balozi Khamis Mussa Omar kwenda China ni tatizo

Kwa kweli mbelwa ni mtu watanzania tunapaswa kujivunia hasa kwa vijana wa rika lake wengi ni hovyo machawa lakini yeye amepiga kazi sana.

Uk amepewa kama ahsante ya kazi aliyoifanya china lakini china tunahitaji balozi mwenye akili za mbelwa very dynamic, anaenda na teknolojia sio rigid na conservative.

Huyo mpya sijui ikiwa kama ana kaliba ya balozi mahadh basi atakuwa anafaa, maana balozi ukitokea foreign na una akili zinazobadilika na wakati utaweza.
 
Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
Wote huu ni Uthibitisho wa madai yangu siku zote kwamba wanaojiita Wakristo Huwa wanajiona Wana Haki sana ya kutawala.

Waislamu si Mnaona?
 
Lakini mbona majina yao ya kwanza yanafanana?

Pia wengine wanadai ni mzenji salim A Salim.

Sasa sijui tuegemee wapi.

We're totally confused πŸ€”
Mbelwa anapenda vitu vyeupe...Ludewa moja hiyo, zenji zilipendwa
 
Mkuu nje ya mada. Hivi huyu balozi mke wake Angelah Kairuki ana undugu na aliyekuwa chancellor wa Ujerumani Angelah Markel? Kwasababu majina yao ya kwanza Angelah yanafanana.
We mutu ya wapi! Udugu huwa kwenye jina la ukoo.
 
Wote huu ni Uthibitisho wa madai yangu siku zote kwamba wanaojiita Wakristo Huwa wanajiona Wana Haki sana ya kutawala.

Waislamu si Mnaona?

Na ndiyo ukweli wenyewe, bila ya Ukristo Tanzania leo hii ingekuwa kama chad, Maurtania, Mali au Somalia.

Ukristo una moral authority ya kuongoza Tanzania, kwa maana kila mtu atanufaika hata wasio na Dini kwa maana ukristo unajenga Taifa la kila mtu hata kwa wasio Wakristo …
 
Na ndiyo ukweli wenyewe, bila ya Ukristo Tanzania leo hii ingekuwa kama chad, Maurtania, Mali au Somalia.

Ukristo una moral authority ya kutawala Tanzania, kwa maana kila mtu atanufaika hata wasio na Dini kwa maana ukristo unajenga Taifa la kila mtu hata kwa wasio Wakristo …
Moral authority ipi hasa?
 
Moral authority ipi hasa?

Unafahamu kwamba Viongozi Waislamu na watu wenye kazi nzuri Tanzania bila ya Kanisa wasingesoma ? Unafahamu kwanza kabla ya Ukristo kuingia Tanzania ambapo Uislamu tayari ulikuwepo Pwani kwa miaka karibia 1000 lkn hakuna Shule hata moja Uislamu ambayo Uislamu ulijenga ukiondoa madrasa ya ku recite Kurani?
 
Mkuu nje ya mada. Hivi huyu balozi mke wake Angelah Kairuki ana undugu na aliyekuwa chancellor wa Ujerumani Angelah Markel? Kwasababu majina yao ya kwanza Angelah yanafanana.
Acha kuleta mada za ajabu ajabu, kaa kimya🀣🀣
 
Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
Aliyemteua anasema eti ana uzoefu wa mambo ya fedha kimataifa,hivyo atasaidia kuomba mikopo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
Ila huyu Kairuki anapendelewa sana, amekaa sana china, sasa hv anapelekwa understand uingereza! Atakuwa, na godfather huko ikulu
 
Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
Mtu humjui unaazaje kumjadili uwezo wake?
 
Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
Kwa ujinga wenu kama huu hizo Bandari wapewe tu hao Dp world tena zote mpaka Bandari kavu
 
Back
Top Bottom