Balozi Mbelwa Kairuki kwenda Uingereza na Balozi Khamis Mussa Omar kwenda China ni tatizo

Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.

1692283761256.png
 
Mkuu nje ya mada. Hivi huyu balozi mke wake Angelah Kairuki ana undugu na aliyekuwa chancellor wa Ujerumani Angelah Markel? Kwasababu majina yao ya kwanza Angelah yanafanana.
😂😂😂Fala sana we jamaa
 
Mkuu nje ya mada. Hivi huyu balozi mke wake Angelah Kairuki ana undugu na aliyekuwa chancellor wa Ujerumani Angelah Markel? Kwasababu majina yao ya kwanza Angelah yanafanana.
Yap! Ni ndugu wa damu moja kabisa kama ilivyokuwa kwa u udugu wa John Paul II (papa) na John Pombe Magufuli.
 
Ijumaa limekuwa tatizo.

Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka.

Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo.

Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
Mtoa mada acha udini jadili hoja "Qmmk'O"

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom