Balozi Mchumo: Watanzania limeni Mianzi, ina soko kubwa Duniani

Balozi Mchumo: Watanzania limeni Mianzi, ina soko kubwa Duniani

hawa wanahamasisha wengine walime ili wapate hasara aanze kwanza yeye si ameiona fursa?wao wale bata wengine wapinde migongo na jembe la mkono kama wale waliotapeliwa kwenye zao la alovera pale njombe na kagera.atoe mfano kwanza yy mapori tanzania si mengi tu tena yy ana mtaji mkubwa aje awekeze ndipo na ss tutafuatia.
Ajihuzulu aje tulime naye tayari ameshaona na soko
 
Mimi nimeona part ya CV katangaza, sijaona kilimo hapo hata kidogo, shithole kabisa

Haya majitu, hata kwa picha tu yanaonekana arrogant. Yeye atoe mfano, hana hata bustani tu ya mianzi, alafu anahimiza watu walime, eti ana extensive experience and expertise in international org & diplomacy, what a waste, si aje alime watu waone atoe mfano, alafu wamfuate. Hiki kilimo cha majukwaani au mitandaoni ni tabu sana. Kazi kupiga mapicha tu na kuzunguka ktk viti vya kunesa, kilimo hata hajui ni nini, anajua kilimo cha kuongea ongea tu.

Au katuwekea part ya CV yake tujue anajua KILIMO?

Ndo akili za kibongo,,kigwa siku zote alikua anasema vijana wajiajiri alivyopigwa chini KALIA SANA HADI LEO HII ANALIA
 
... wala hajasema hivyo; umemkwoti vibaya; kasema LIMENI; yeye hayumo!
Kuna watu wamebarikiwa duniani aisee... huyu yuko jikoni tangu 1970 huko kama waziri mdogo, waziri, balozi hadi hii leo.....

Yaani kiufupi amekua kwenye utamu tangu Magufuli anatembea peku huko chato, anaingia shule ya msingi hadi anakuja mjini na kuwa waziri, rais hadi kifo chake lakini mzee Mchumo yupo tu ananyonya asali kwa mrija........
 
Mpuuzi huyu atakuwa ameona kwenye gazeti, Pinda alikuwa anapigia debe asali kumbe yeye analima zabibu na hataki wengine wajue, hawa watu ni wanafiki wakubwa
Hahaha

Pinda si ana export asali yake

Ova
 
Kuna watu wamebarikiwa duniani aisee... huyu yuko jikoni tangu 1970 huko kama waziri mdogo, waziri, balozi hadi hii leo.....

Yaani kiufupi amekua kwenye utamu tangu Magufuli anatembea peku huko chato, anaingia shule ya msingi hadi anakuja mjini na kuwa waziri, rais hadi kifo chake lakini mzee Mchumo yupo tu ananyonya asali kwa mrija........
... wahitimu wanalia tatizo la ajira huyu hawezi kuelewa kabisa! Hawa ndio wa kwanza kuwafokea wasaka ajira "mkajiajiri" wakati yeye mwenyewe for almost 40 yrs kaajiriwa! Very funny!
 
Fursa hiyo ya zao lingine la kimataifa, huyu Mzee Ali Said Mchumo amewahi kuwa Mtendaji wa Mashirika makubwa ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu Geneva Switzerland kwa miongo kibao kabla ya nafasi hii ya ukuu wa Mianzi yenye makao yake Beijing China ambapo ndipo bamboo zinapamba ujenzi wa mahekalu na vitu mbalimbali!

https://www.southcentre.int › question
Addressing the issue of commodities - The South Centre

Ambassador Ali Mchumo, former Managing Director of the Common Fund for Commodities and former Ambassador of Tanzania to the UN and WTO, said


https://common-fund.org › about-us
Former Managing Director - Ali S. Mchumo - Common Fund for ...

Mr. Ali S. Mchumo took up his functions as CFC Managing Director on 1 ... Board of the United Nations Conference on Trade and Development

https://unctad.org › press-material
unctad´s secretary-general calls for real interdependence leading to ...

The newly-elected President of the current session, Ambassador Ali Said Mchumo of the United Republic of Tanzania, stated that no national or
 
Back
Top Bottom