Balozi Mchumo: Watanzania limeni Mianzi, ina soko kubwa Duniani

Angeonesha mfano,aachane na ajira hiyo
Alime,watu watafata nyayo

Ova
 
Balozi kwakua kapewa udg kampuni ya mianzi na yy bila kusita anawaambia wanyonge waanze kuilima hapo hapo 😄😄😄
Usikute amesahau hata inafananaje
 
Nchi hii kama kichwa cha mwendawazimu,hakuna leadership kwenye kila kitu. Mungu atusaidie sana.
 
Chadema watasema mpaka tupate katiba mpya ndio tulime!
 
Hawa watu wasio na huruma na watanzania wanataka mlime halafu mkikosa soko hakuna wa kumlaumu, mbona parachichi zinaoza hovyo kila mahali hata shambani kwa Magufuli kule Njombe? Green gold…!
 
Kilimo kinawezekana kama kuna funding Kwa ajili ya kufanya yafuatayo
Kununua au kukodi ardhi
Kununua commercial farming equipments and irrigation technology
Kupeleka vijana kwenye model commercial farms ili wapate onjob training
Kuwa na hela ya kulipa expertise and consulting fee kwa wataalam wa kilimo cha mianzi
Technology ya kuchakata mianzi iliyokomaa ili kuuza consumable bumboo products.

Bila funding ku-finance the turnkey project solution, balozi anaweza kuwa na wazo zuri sana ila linakosa uhalali wa kuwa executed.

Tanzania ina bahati mbaya, tuna watu hawajui kuwa kilimo ni biashara kubwa yenye utajiri na lazima kiwe handled kama source ya revenue kwa serikali.

Tuna watu wana mipango ya kukusanya kodi bila kuwa na direct input kwenye production, processing/manufacturing na service sector kama (banking, insurance, legal, logistics) ili kuwa na certainty inputs itatoa output na kwa asilimia ngapi.

Kama hamna gov commitment, this bamboo farming will never yield anything.
 
Mi nilijua ataeleza bamboo inatumika kwenye nini? Bei yake ikoje? Masoko yake yanapatikana wapi? Yeye amelima kiasi gani ili watu wamtumie kama shamba darasa? Badala yake anatuletea CV yake hapa. Idiot 🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…