Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
 
kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania. lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania?

aseme.
Hivi Huyu ni waziri wa mambo ya nje au balozi muwakulishi wa Marekani kwa Tanzania?

Mbona kama ana base kuwasafishia njia sana Wamarekani kwa Tanzania?

Tena hana hata time na CHINA wakati ndo walau wanatuboost na vibizaa vyao deli feli nasi tuwe tumetumia
 
kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania. lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania?

aseme.
Hakuna Uwekezaji wa Maana Marekani anaweza fanya Tanzania, Marekani anawekeza kwenye nchi zenye uchumi mkubwa sana China ndo size yetu na India ila sio Marekani,
 
Hivi Huyu ni waziri wa mambo ya nje au balozi muwakulishi wa Marekani KWA Tanzania?...
... maisha yake kwa sehemu kubwa kaishi na kufanya kazi huko huko Marekani hadi Rais Samia alipomuibua huko! Huyu sio wakala wa mabeberu? Au kwa kuwa CCM?
 
Hivi Huyu ni waziri wa mambo ya nje au balozi muwakulishi wa Marekani KWA Tanzania?

Mbona kama ana base kuwasafishia njia sana Wamarekani kwa TZ?

Tena hana hata time na CHINA wakati ndo walau wanatuboost na vibizaa vyao deli feli nasi tuwe tumetumia
Waafrika toka lini tukajielewa? Tumekuja duniani kulamba matako ya watu weupe..race yetu ya ajabu sana. Tupo tupo tu duniani..angalia hata tunavyoishi ...miji yetu maisha yetu. Hata wanaotakiwa kututoa kwenye umasikini wako busy kuhakikisha wazungu wanazidi kuendelea kwa resources zetu wenyewe.
 
Hakuna Uwekezaji wa Maana Marekani anaweza fanya Tanzania, Marekani anawekeza kwenye nchi zenye uchumi mkubwa sana China ndo size yetu na India ila sio Marekani,
... Mataga ni wajinga sana Mkuu. A simple example, mwaka 2019 GDP ya Tanzania ilikuwa USD 63.1bn. Vyuo vikuu viwili tu vya Marekani (Harvard & Texas) vina utajiri wa USD 38.3 + 30.8 = USD 69.1! (Ref. The 100 Richest Universities: Their Generosity and Commitment to Research - TheBestSchools.org).

Marekani ina zaidi ya universities/colleges 4000 (elfu nne) zinazotoa degree na Balozi Mulamula anajua hilo. Huo ni mfano kiduchu tu wa vyuo vikuu; hujazungumzia utajiri wenyewe wa Marekani! Halafu eti hii nchi ni "dona kantri" na wapumbavu wanacheza na kuhubiri "chorus"; ujinga mtupu!
 
Balozi Mulamula mbona kuna uzi huku nasikia wamarekani weusi wanaondoka🤣👇
 
Marekani anawekeza kwenye nchi zenye uchumi mkubwa kama Ulaya
Ila nchi zetu hawekezi bali anaiba rasilimali zilizopo

Hawezi kuweka kiwanda cha Tesla kwetu bali atatafuta ulaji tu labda wa machimbo
 
Kama katiba hautabadilishwa hao waawekezai wajiandaye kukimbia nchi. Kivipi? Subiri utaona.
Nakuunga mkono ,katiba iliyomwezesha rais awamu 5 kufanya anavyaka aiwezi kumshawishi mwekezaji kwa kweli.ukiamka tamko ndio sheria ,bunge ,mahakama mikononi mwa mtu mmoja neee kwa kweli
 
Hivi Huyu ni waziri wa mambo ya nje au balozi muwakulishi wa Marekani KWA Tanzania?

Mbona kama ana base kuwasafishia njia sana Wamarekani kwa TZ?

Tena hana hata time na CHINA wakati ndo walau wanatuboost na vibizaa vyao deli feli nasi tuwe tumetumia
Hahahahahahahahaha
 
Huyu Mama ni wale wasomi ambao wako too much brainwashed na western philosophies kiasi kwamba hana akili ya kwake aliyobaki nayo when it comes kwenye hiyo taaluma yake zaidi ya hicho alichofundishwa.
 
kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania. lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania?

aseme.
Huyu mama naye atakuja kujipambanua kungali mapema sana kwamba hajui kitu, ni mlamba viatu tu vya wakubwa.

Marekani kawekeza wapi kwingine Afrika, kiasi cha kupapatika na kujitoa ufahamu kiasi hiki.

Badala ya kuhimiza wananchi waweke bidii kuleta maendeleo kwenye nchi hii, na kuwawezesha kwenye shughuli zao, mawazo ya hawa viongozi yametekwa na propaganda.
Bila shaka matamko yake hayo ni kumbukumbu za uwekezaji walioufanya hao wamarekani wakati wa enzi za Kikwete? Atuonyeshe uwekezaji huo basi ni upi.
 
Back
Top Bottom