Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Kwani ni kipi kilichoondoa imani hiyo hapo awali?kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania. lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania?
aseme.
Kwani wao serikali wanasemaje?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app