Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

Kwani ni kipi kilichoondoa imani hiyo hapo awali?
Kwani wao serikali wanasemaje?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama alipataje uwaziri jamani?! Yaani bora hata angempa hata huyo Membe.
 
... maisha yake kwa sehemu kubwa kaishi na kufanya kazi huko huko Marekani hadi Rais Samia alipomuibua huko! Huyu sio wakala wa mabeberu? Au kwa kuwa CCM?
aliibuliwa na CHAWA WA MAMA
 
Amewekwa hapo ajili hiyo kwani hujui ? Acha wasafishe njia sekta binafsi irudi kwenye mstari sasa mzigo mkubwa madeni sabsbu sekta binafsi imekufa....serikali imeua makusudi kuliendekeza visasi kijinga vya jiwe.....
 
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
Alaaaaaa, kumbe wakati wa meko haikuwa salamaaa...
 
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
Wakati wa kupora wafanyabiashara na wawekezaji haukuwa salama
 
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
Nchi Isiyokuwa Sheria zinazoaminika nani mwenye akili timamu atawekeza? Huyo waziri kama kasema hivyo ajue walikuwa wanampigisha soga tu! yaani ukawekeze Hela kwenye Nchi ambayo neno la Mtawala ndio sheria
 
Hamna waziri hapa Zaid ya Dalali wa Marekani tu,Huyu na NYALANDU ndo wale wale
Umaskini wako unakufanya uchukie Kila mtu aliefanikiwa wengi wenu hii ndio mlimpendea jiwe maana alikuwa anawalisha ujinga ikiwa yeye anakwapua anaenda Kujenga uwanja wa Ndege kwao
 
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
Prof. Kabudi atamjibu soon.
 
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
wewe MULAMULA kutoka moyoni kwako unaonaje?
 
... Mama alishauriwa vibaya ama? Atengue?
Hizo 'hang'over' za siasa na fikra ,na propaganda za Ujamaa kwa karibu miaka 60 zimefail, na sasa afadhali tuangalie popote kule iwe 'east or west' kwa mipango dhabiti,makini na, madhubuti yenye faida kwa maendeleo endelevu ya nchi yetu maskini.Kwa nchi yetu iliyojaliwa kila aina ya rasilimali lakini hadi leo, hatuna sababu ya msingi ya kuendelea kuogelea kwenye lindi la umaskini tu.... kazi iendelee.
 
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
Huyuu ndo yule wazir asiejua kuwasilisha mada bungeni..hajui kuongeaa..anaongea kama anafukuzwaaa...tz kuna maajab sanaa..
 
Donor country kwa maana ya rasilimali zilizopo ikiwa zitatumika vyema. Sio kwa maana ya hali ya sasa kiuchumi.

Punguza perceptions za kujidharau.
 
A mole
 
West kumeshindwa
 
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…